Mbunge wa Dom Mjini

Kibubumo

Member
Dec 19, 2011
18
2
Wapendwa naomba aliye na taarifa za aliyekuwa mbunge wa dodoma mjini Nd Efraim Nehemia Madeje atujuze kidogo
 
Nchi hii majimbo yenye wabunge hayazidi 23, sidhani kama Dodoma ni mmojawapo!
 
mtoa mada kakurupuka.
Uyo jamaa anayemtaja hajafanya lolote pale dom.
Mean hana la kukumbukwa. Ila nasikia alikua ni mtaalam wa mawasiliano labda TCRA wamuajiri.
 
Wagogo Dom ni kama Waruguru pale Moro, kila wakifanya kale ka-ubaguzi eti tumchague wa kabila letu "inakula kwao". Hadi watakapoacha hii dhambi ndo waendelee. Huyo Madege niliwahi kusikia alitangaza kutogombea tena, mara akapata ma-bush lawyer wakamshauri agombee. Ndipo hapo wagogo walipompiga kibuti cha mbavu. Kuna yule alokuwa meya wa Dar alienda kugombea huko, sikumbuki kipi kilimpata.
 
Jamaa amenikumbusha Mbunge mmoja alikuwa anaitwa Joseph Monko. kipindupindu ni mbaya sana!
 
Back
Top Bottom