Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Dec 20, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana jf, Great Thinkers ni matumaini yangu kuwa kwa wale wenye uchungu na hii ndiyo wanahitaji mabadiliko ya kweli na kwa wale mafisadi wanatamani tuendelee kukaa tu kimya kwani kelele zetu zitawaumbua na kuwanyima ulaji!
  Lengo langu kuu ktk hii mada ni kutaka kuwaomba Great Thinkers kutaja maliasili zote tulizonazo hapa Tanzania ktk kila Mkoa na hata Wilaya kwa kadri ya ufahamu wako!
  Kwa kuanza naanzia Mkoa wa Mara:
  1. Mbuga ya Wanyama ya SERENGETI wilayani Serengeti
  2. Migodi ya Dhahabu NYAMONGO (Tarime) na BUHEMBA (Musoma Vijijini)
  3. Ziwa VICTORIA Bunda, Rorya, Musoma Mjini na Vijijini.
  Naomba uendelee kutaja Rasilimali zingine ktk Mikoa na Wilaya nyingine ndani ya Tanzania.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ngorongoro Crater
  Tanzanite Mining in Mererani
  Ruaha resourse
  Selous Game resourse
  Hifadhi ya Momela
  Hifadhi ya Ngorongoro
  Hifadhi ya Manyara
  Ziwa Victoria
  Ziwa Tanganyika
  Ziwa Nyasa
  Geita Gold Mine
  Buzwagi (barick Gold mine)
  .................................................endeleeni
   
Loading...