Kesi ya Kibanda mahakamani Kisutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Kibanda mahakamani Kisutu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndevu mzazi, Dec 20, 2011.

 1. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Habari zilizopatikana kutoka Mahakama ya Kisutu zinasema tayari Kibanda ameshafikishwa mahakamani hapo tayari kwa kuunganishwa katika shitaka alilofunguliwa mwenzake Samson Mwigamba.
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Naogopa wasije wakam :photo:babu Seya.:photo:
   
 3. Imany John

  Imany John Verified User

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  wenye updates watupatie.

  Ikumbukwe:

  jana kesi iliahirishwa mpaka leo,ambapo ililazimu kuwepo kwa dhamana tena ya sh milioni tano za tanzania.
  Ukiachana na dhamana ya mara ya kwanza aliyowekewa na Kubenea.

  Nawasilisha.
   
 4. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  pole sana waandishi mloupande wa wananchi.watatesa miili yenu na kuifunga lakini mtabaki huru sana katika dhamiri zenu.kinyume ni kuwa wao japo miili yao iko huru wanaiba kula na kubeua hata kuwakamata nyinyi, dhamira zao haziko huru na wako kifungoni kwani kila siku wanakumbuka watu ambao wamewatesa kwa chuki binafsi,wa kwanza kabisa ni babu seya
   
 5. DIALLO

  DIALLO Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  mungu ndie ajuae kesho ila watawala we2 mwishi wao huko karibu cha muhimu ni utulivu na amani 2
   
 6. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Eti bwana watujuze basi ilikuwaje!
   
 7. I

  IWILL JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  atleast journalism inaanza kushamiri Tanzania kutoka kwenye stage ya lapdog journalism-ambayo unapewa habari kutoka ikulu na kuipeleka kama ilivyo bila kuliza maswali huko tumetoka isipokuwa magazeti ya serikali ndiyo yapo yananyata.

  Sasa hivi journalism ninayoiona tanzania ni watchdog journalism waandishi wanafanya utafiti kiasi lakini bado hawajaanza kuingia kwenye personal life, kama kweli rais alinunuliwa suti, au ni kweli alikuwa hooker pale hotel nyota tano.

  Tutakapofikia junkyard dog journalism ndiyo uhuru wa habari utakuwa umefika mahali pake personal life will not left unturn......vimada wote watakuwa wanamlikwa.

  trust me we will get very soon!
  adios amigos/amigas!
   
 8. m

  marembo JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watawala wawe tayari kuambiwa na ya upande wa pili kwamba wameboronga.

  Huku kuwafungulia mashtaka waandishi na wahariri ni ishara tosha kuwa hawapendi kusahihishwa. Wakati umefika watu wasimame kupinga udhalimu na uonevu wa namna hii. Mungu ibariki Tanzania inayoheshimu uhuru wa habari.
   
 9. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sielewei watu wengine mnafikiri kwa kutumia nini. Ingekuwa serikali imelifungia hilo gazeti hata mimi nisingeunga mkono. Lakini kilichofanyika ni kufungua mashtaka mahakamani ambayo ni haki ya kila mmoja.

  Hivi mimi nikikufungulia mashtaka kwamba umetembea na mke wangu wakati si kweli tatizo lako ni nini? Mahakamama itaangalia kesi na itakosa ushahid na wewe utaibuka mshindi na mimi nitabaki na aibu.

  Binafsi nimeisoma makala nzima iliyosaabisha haya. Nimesoma na madaiya serikali ni kwamba Mwigaba amewashawihi askari kugoma kutii mamlaka halali.

  Kama umesoma makala ile utaona kwamba Mwigaba hajachochea mgomo kwa amri halali. Bali ameeleza jinsi askari wanavyonyanyaswa na hivyo msingi wa makala ile ni kupinga mnyanyaso. Kitu ambacho ni sahihi maana hakuna askari aliyeapa kunyanyaswa.

  Hivyo, binafsi ninaona kwamba Mwigamba, Kibanda na gazeti la TANZANIA DAIMA wataibuka kidedea katika kesi hii.Hili sna wasiwasi nalo kabisa, kuliko kama wangelifungia kama walivyofanya la Kubenea.
   
 10. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Hasta luego!
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwenye hilo shauri kama vile namwona kamishana Chagonja akishinikiza, maana jamaa yule hajiamini kabisa, na hakika kabobea kuilinda ccm,rejea hata sakata la Tarime na maiti zile,makubaliano aliyoyafanya na famiilia za marehemu na viongozi wa cdm ilkuwa tofauti na maamuzi yaliyochukuliwa na polisi hours later kwenda kuiba maiti mochwari
   
 12. I

  IWILL JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Unadhani serilkali imeamka tu leo na kusema tunafungua mashitaka dhidi ya kibanda la hasha, wana kamati ya ufundi wenzako! usipomwangiwa tindikali!!, usalama wa taifa wanageuka majambazi, si hivyo tu mahakama kuu yuko othmani!! ukienda usalama ni othmani usidhani hii bahati tu imetokea, polisi said mwema ukijumlisha yote haya salama yako iko kutoka shinikizo na wafadhili wa nje....you walking dead.
  roba politician todo no bueno.
  Viva Africa oriental, viva la Tanzania.


   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kesi imeahirishwa hadi january 19 na Kibanda yuko nje kwa dhamana.
   
 14. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Majuto mjukuu - atakae shindwa atajuta sana.
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kesi ngumu hazipata hukumu itakuw kesi mbuzi hizi?
   
 16. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Unajua wanajamii nashindwa kuwaelewa kabisa wengi wetu,jana na juzi Kibanda 2limsema jamaa mganga njaa tu hana lolote mara hivi mara mchumia 2mbo na leo 2namuona shujaa, anapigania maslahi ya wananchi dhidi ya madhila ya Dola aaah wadanganyika unafki uta2maliza 2cwe kama upepo.
   
 17. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  wote waislamu rais,mkuu wa usalama taifa na mkuu wa polisi teh teh
   
 18. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama wataibuka washindi vp kuhusu muda wao waliopotezewa?
   
 19. M

  MCHUMIA NCHI Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mi nashangaa,mara kanunuliwa na Lowassa,ila jibu limeshapatikana kua yupo upande gani wa coin.
   
Loading...