Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
754
131
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.
 
JiweJeusi,

Uko sawa kamanda mimi ni kati ya wana nzengo wa Shy mjini. Unayoyasema ni kweli bin sawia. Bahati nzuri hata masele mwenyewe na wapambe wake wanju hivyo.

Masele hawezi itisha mkutano au mkusanyiko wowote hapa, labda kama ni vikao vya ndani vya ccm. Jamaa anajiita mbunge sijui anamwakilisha nani. Sina uhakika baada ya kifo chd Kamanda Shelembi(RIP) sheria inasemaje, lakini kati ya kesi zilizokuwa straight, ni pamoja na hii. Haikuhitaji weledi mkubwa wa sheria kuona wazi kuwa Masele (ccm) walikuwa wanashindwa, na matokeo kutenguliwa, uchaguzi mdogo ungeitishwa, na hapo ndo wangeijua CDM ni kitu gani.

Anyway "hii ni mipango ya Mungu" kama hakuna alternative kwa sasa basi 2015 siyo mbali, tuombe uzima.
 
Salamu zitaanza kuonekana kwenye uchaguzi wa diwani, kwani kamanda wetu alikuwa ni diwani pia hivyo lazima uchaguzi urudiwe.
 
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.

Kweli kuna watu na viatu, hivi ni ww unaetambua ubunge wa mtu au ni sheria ? fikiri kabla hujaandika kitu hapa JF
 
jimbo hilo jamani halina mbunge na tunajiaanda kwa ajili ya kuweka mtu mwingine uchaguzi ujao, kamanda wetu shibua atalishghulikia issue ile ya kesi, sina uelewa mkubwa sana wa kisheria lakini kama ikishindikana tutamsubiri masele 2015 na yeyote yule kutoka GAMBANI aje aone , shinyanga is for CHADEMA na ninapenda kuwahakikishia wana shinyanga mjini kuwa kura zenu hazitakija kuibiwa tena labda watuue kwanza kabla ya kuiba
nakaribisha maoni na ushauri
 
Hivi kura zinaibiwaje vile ? tueleze
 
Kweli kuna watu na viatu, hivi ni ww unaetambua ubunge wa mtu au ni sheria ? fikiri kabla hujaandika kitu hapa JF

Mbona mwenzako amejieleza vizuri sababu za Shinyanga kutokuwa na mbunge? Au mwenzetu wewe umefunga macho na ubongo wako?
 
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.

Mkuu pole,
Mahakamani haki haipote kwa kufa kati ya washitakiana.
 
kweli wana shinyanga mmezurumiwa, hata mwizi mkuu Kikwete anajua hilo...binafsi huwa na hesabu shinyanga mjini ni jimbo la CDM....
 
Nakubaliana na wewe. Kama masele anajiona yeye ni mbunge halali wa shy mjini basi aitishe mkutano wa hadhara kama atapata mtu!
 
hawa watu hawana aibu anaweza kuitisha akaleta wasanii mbalimbali na ulinzi kama alivyo fanya meya wa Arusha alipo fanya mkutano na waandishi wa habari alikuwa analindwa kama raisi siku hiyo........
 
shinyanga is ma home kahama is my destination.
shida ni moja wa shy tumelala sana itabidi tuamke ni hayo tu..
 
Mkuu siku tukiamka tukacha upole wetu wakijinga baasi tunafasi ya kuleta mabadiliko kwenye nchii hii na tumeanza...
 
aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. .

Subutu!! Mkutano?

Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.

Kurahisisha mambo mkuu mfungulie mashitaka kama mpiga kura kwamba amekutelekeza kisha nitumie RB numba halafu bandika picha yake hapa. Ndani ya wiki moja namtia tanganyika jeki kisha namleta mwenyewe
 
Hivi kura zinaibiwaje vile ? tueleze
Hujui kura zinavyoibiwa kamuulize Masele akishirikiana na Balele pamoja na katibu mkuu wa CCM aliyefukuzwa ambaye wanadai ndiyo running mate wa urais 2015 bwana Yusufu makamba,baba Riz one na mangula ambaye ndiyo muasisi wa wizi wa kura Tanzania akishirikiana na usalama wa Taifa,
kaka nakuheshimu sana maswali ya kipuuzi huwa sipendi wewe hujui wezi wanibaje wewe huko kwenu kjijini unaibaje mihogo ya jirani zako aka mikate ya jk?
 
Mwanzisha mada anayejulikana kama Jiwe jeusi ameuliza kesi ya marehemu Shelembi itakuwaje nayeye ametangulia mbele ya haki? Mwenye ujuzi katika hili atujulishe.
 
Back
Top Bottom