Nionacho miimi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionacho miimi!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mtu wa Mungu, Nov 24, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Baada ya kusainiwa tarehe 01.12.2011 huo mswada wa sisiemu/kafu mbinu zile zile za kutumia UWT zitatumika na within no time katiba mpya hiyo hapo!!!!!!!! Kama wakati ule hakuna aliyekohoa leo nani atadiriki!!!!!!!!! JF tusiganganyane na maneno mengi ambayo ni ya simple minds kujadili watu bila kujadili issues critical to the survival of this dying nation!!!!!!!!!!!!! Pole Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Cuf kuomba kumwona Rais kuhusu sheria walioshiriki kuhujumu na kusaliti taifa kwa kushirikiana na sisiemu ni dalili kwamba sasa ndiyo wanaanza kuona walichofanya!!!!!!!!!!!!! Sasa ndipo watanzania watajua ni kwa nini wakenya walichinjana kama kuku kugombea katiba mpya!!!!!!!!!!! Na hapa Tanzania dalili zimeanza kujionyesha kuelekea huko sisiemu na kafu wakiongoza ili kuondoa watanzania mawazo kwenye zoezi la magamba lililofeli kwa aibu!!!!!!!!!!!!
  Mahita arudi kuwa IGP ili majambia yaingie watu waanze kuchinjana kudai haki!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jambo moja ambalo halijawa wazi kwa wengi ni mbinu iliyo nyuma ya kile anachofanya Kikwete kwenye mchakato wa katiba mpya ni kuhakikisha kwa mbinu zote zikiwemo UWT, mahakama, na spika makinda ni kwamba mawazo yake na chama chake cha magamba ndiyo yanafunika katiba mpya.

  Kumbuka kwamba yeye ndiye anateua watu kama akina makinda na werema kuwa kweye hiyo kamati na baadaye bunge la sisiemu ndiyo itapitisha baada ya kuzua mambo ambayo yatawafanya CDM kutoka nje ya bunge.

  Akijua kwamba huku nje ana FFU, UWT wasiokuwa na uchungu na nchi hii, majaji walio kama werema, na fedha za mafisadi, ataweza kufanya lo lote atakacho kwani mtamfanya nini? Hivi ndivyo zilivyo serikali za kihuni duniani.

  Kwa jinsi waTz walivyologwa na pepo la mwenge ule wa uhuru, kaeni msubiri mtaona haya nionayo mimi!!!!!
   
 4. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We subiri tu uone kama haya niyaonayo hayatatimia! Ushahidi nilionao ni trend ya mambo yanavyoendeshwa na utawala huu dhalimu na dikteta in nature!
   
Loading...