Mipasho ya CUF Live on Channel Ten | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mipasho ya CUF Live on Channel Ten

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Scolari, Dec 19, 2011.

 1. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jussa anadai Hamad ni mroho wa madaraka, mchuuzi anayemuonea gere urafiki wake na Rostam.

  Jussa anadai Hamad ni kirusi asiyejua maadili ya uongozi kwa kuchukua nyaraka za chama na kuzi-publish kwenye kitabu chake.

  Anaendelea kushusha tuhuma kwa Hamad kwamba alikuwa akiongoza wabunge kutokulipa fedha ndani ya chama kama katiba ya CUF inavyowataka kufanya hivyo kwa kulipa 10% ya mapato yao ya ubunge. Alikuwa akificha pay slip na Jussa alipoteuliwa kuwa mbunge na Kikwete miezi sita ya bunge lililopita aliwaumbua kwa kupeleka pay slip kwenye chama
   
 2. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Enhe!.....
   
 3. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jussa anaendelea kumwaga radhi kwamba CUF ilikuwa haiandikwi kwenye vyombo vya habari na sasa anamshukuru Hamad kwa kuibua mgogoro wao unaowafanya wapate coverage kubwa kwenye vyombo vya habari.
   
 4. Scolari

  Scolari JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 4, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wameshatumika na ccm tayari, na sasa kazi yao ni kama imeisha..pandikiza migogoro kati yao ili kuondoa nguvu yao!
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kumbe Rostam ana mtandao mpana kiasi hiki!? Kazi ipo.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,218
  Trophy Points: 280
  Rostam is a king!Money bwana.
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh wanaolewa kirahisi sana ..anataka mkopo kwa Rostam kuna upinzani kweli hapo!!!!!!!!!!!
   
 9. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Chanzo/sosi?. Amedai akiwa wapi?
   
 10. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Very interesting. Hakika hii ngoma ya UFISADI ni ngumu. Huyu bwana (RA) inaonekana kashikilia siasa za Tanzania kila idara - sio chama tawala, sio upinzani.

  Hadi Kiongozi wa Upinzani aliyejifanya kuongea hadi mapovu yanamtoka kumbe anatamani hela za kifisadi - ze gambaz? Tunahitaji sana rehma za Mwenyezi Mungu kuchomoka hapa vinginevyo tushakuwa mateka.
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inashangaza kuwa CUF imechukua muda wote huo, tangu ilipoanzishwa, kubaini kuwa Hamadi Rashid ana sifa hizo wanazompa sasa!
   
 12. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hamad alishindwa kuchukua mkopo benki? Hii habari naitilia shaka. Hivi huyu Jussa ndiye katibu wa Rostam?
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dah... nimekubali Rostam ni King Maker. Mi nilidhani wadeni wake ni Mtikila tu..kumbe hadi Hamad alitaka kuingia kwenye pay roll yake kwa nguvu! Kweli Tz hakuna lisilowezekana
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Acha uvivu wewe.
   
 15. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Habari unaitilia shaka? Jusa yuko live saa hizi na tumemsikia akitamka hayo wewe utatiliaje habari shaka? Angalau ungetilia shaka maelezo ya Mh. Jusa na sio habari yenyewe ambayo ina-report alichosema Jusa.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa hawa jaman tusiwaendekeze,tufanyen mambo yetu
   
 17. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mimi tv yangu haisomi chanel ten, nimeikosa.
   
 18. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,213
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Hivi msemo sahihi hapa ni upi 'dont hate the game hate a player' au 'dont hate a player hate the game' nisaidieni jaman.
   
 19. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tutasikia mengi mwaka huu
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nilimsikia kwa mashkio yangu akimrefer RA kama 'mhishimiwa'..mi nilishatoa toa wazo sku nyingi sana kwamba tufute hivi vyama vya siasa, havina faida yeyote maana ni sehemu ya ulaji badala ya kuwatumikia wananchi..

  With time watu watajua jinsi resources nyingi zikiwemo fedha na muda vinavopotea kwa kisingizio cha siasa, ambayo kimsingi sioni kama imeleta na italeta mabadiliko yoyote ya kimsingi katika taifa letu.
   
Loading...