Taa za Barabarani jijini Arusha

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Jamani mi nashangawa na taa za hapa jijini Arusha,huwa haziwaki kabisa usiku na kusababisha katikati ya jiji pawe na giza km nje ya jiji, ila cha ajabu wakiwepo wakubwa,taa huwa zinawaka mapema sana saa kumi na 12 jioni. Hatujui wanabana matumizi au nini kwa kuwa taa ni nzima kabisa. Wanatupunguzia hadhi ya jiji jamani.
 
Energy Management System (EMS) at its work.
 
Back
Top Bottom