Mjadala wa Katiba unaendelea wadau

mwankuga

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
334
120
Mjadalwa Katiba unaendelea wadau.

Muda wowote Rais Jakaya Kikwete atatangaza majina ya wajumbe watakaounda Tume ya Katiba itakayoshughulika na kukusanya maoni na kuandaa rasimu ya Katiba.Je,nani unependa awepo kwenye tume hiyo na kwanini?

Mimi nawapendekeza Prof.Issa Shivji na Prof.Kabudi Paramagamba (wote ni wabobezi katika mambo ya sheria na katiba,na naona wanauzalendo tofauti na wasomi wengi ambao ni wachumia tumbo).Maoni yako ni muhimu.
 
Nashauri hawa wafuatao wasikosekane
1. Slaa wilbrod.
2. Tundu Lisu.
3. Mbowe.
4. Heche.
5. Munishi Deo.
6. Lema Godbless.
7. Mwanakijiji.
8. Kibanda.
9. Mnyika.
10. Shibuda.
11. Halima Mdee.
12, mr. II Sugu.
13. Pete Msigwa.
14. Prof. Kahigi.
15. Wenje Ezekieli.
16. Kafulila***

~~~~~~LEAST~~~~~~~
 
Nashauri hawa wafuatao wasikosekane
1. Slaa wilbrod.
2. Tundu Lisu.
3. Mbowe.
4. Heche.
5. Munishi Deo.
6. Lema Godbless.
7. Mwanakijiji.
8. Kibanda.
9. Mnyika.
10. Shibuda.
11. Halima Mdee.
12, mr. II Sugu.
13. Pete Msigwa.
14. Prof. Kahigi.
15. Wenje Ezekieli.
16. Kafulila***

~~~~~~LEAST~~~~~~~

Mkuu mbona wengi ni wabunge wa cdm?Katika vyama vingine,taasisi za elimu,Ngos,dini n.k zinatakiwa kuwakilishwa.Lakini maoni yako yanaheshimiwa.
 
Nafikiri majaji wastafu wanaweza kutusaidia ambao ni Barnabas Samata,Robert Kisanga na Jaji Sinde Warioba.
 
Mkuu mbona wengi ni wabunge wa cdm?Katika vyama vingine,taasisi za elimu,Ngos,dini n.k zinatakiwa kuwakilishwa.Lakini maoni yako yanaheshimiwa.

hao ndio wenye uchungu na nchi hii!
 
Nashauri hawa wafuatao wasikosekane
1. Slaa wilbrod.
2. Tundu Lisu.
3. Mbowe.
4. Heche.
5. Munishi Deo.
6. Lema Godbless.
7. Mwanakijiji.
8. Kibanda.
9. Mnyika.
10. Shibuda.
11. Halima Mdee.
12, mr. II Sugu.
13. Pete Msigwa.
14. Prof. Kahigi.
15. Wenje Ezekieli.
16. Kafulila***

~~~~~~LEAST~~~~~~~

Jk hawezi kuwa mzalendo hivo aweke na upinzani na hata akiwaweka ataweka wale walionunuliwa na ccm kama zito na cuf
 
Hata kama mkipendekeza Jk sio mtu wakusikiliza mawazo ya watu hasa wanawaza maendeleo labda wale wanaowaza ufisadi na kuiinua ccm
 
Back
Top Bottom