Mwaka unaisha ila tujikumbushe sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka unaisha ila tujikumbushe sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Dec 20, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  Waandishi wetu na nadhani hata sisi wananchi tumekuwa na tabia ya kusahau mambo baada ya kuanza kwa ushabiki.Na muda mwingi mambo serious huwa tunayapa ushabiki mkubwa na mambo ya kijinga tunayapa uzito wa hali ya juu .Mimi naomba tukikumbushe mambo haya 2 na kama nawe una lako ongeza kwenye orodha tuone tunamalizaje mwaka na yana status gani popote yaliko .

  1.Msemakweli na walio foji vyeti vya Elimu ya juu .
  Alisema na aka andika kitabu kwa uwazi.Nikasikia wahusika wanasema wanaenda mahakamani .Lakini hata leo hakuna aliye enda kudai haki ya kuchafuliwa .Na watu hawa bado wana heshima kubwa kwenye jamii hata baada ya dhambi kubwa hiyo waliyo ifanyia jamii .Je unaweza kuniambia kwa nini hawakwenda mahakamani kudai kusafishwa majina wakiwa na ushahidi wa Elimu zao ?

  2.Kesi ya Rizwan dhidi ya Slaa na Mtikila nayo imeishia wapi na kuna lolote linaendelea ?

  naomab kuwasilisha

  Angalizo: Kwa wale wasio kuwa wachambuzi na majibu ya kistaarabu tafadhali piteni tu waache wenye nia ya mijadala kwa faida ya wengi waseme .
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  wilson mukama na makomandoo wa chadema kutoka libya na afghanistan wakati wa kampeni igunga.
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  ushahidi wa godbless lema kuwa pinda kasema uwongo bungeni..makinda kaufungia hadi kesho
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  ushahidi wa david kafulila kuwa zambi(ccm) na mwenzake(mbunge wa ccm simkumbuki) waliomba rushwa kwa wakurugenzi wakati kamati ya bunge ya serikali za mitaa ilipokuwa inakagua halmashauri mbalimbali....makinda kapiga kimya mpaka kafulila kafukuzwa uanachama nccr.
  nafikiri wanataka lema ashindwe kesi ya ubunge..
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Vipi na zile ahadi za JK kuna ambazo tayari zimesha tekelezwa ? Lakini kwa nini waandishi hawaandiki kukuwambusha wakubwa hawa juu ya maneno yao mara kwa mara ?
   
 6. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kauli ya utata toka kwa Pinda kuwa Zanzibar sio nchi, wenzie wakamzima kwa kuweka kipengele hicho kwenye Katiaba yao baada ya mabadiliko ya kumi.
   
 7. k

  kibajaj Senior Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  malipo ya dowans, kuuzwa kwake, jairo kuomba rushwa na kusafishwa,makinda kutangaza posho mpya .........
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Baada ya milipuko ya mabumu mbagala JK alitoa ahadi kuwa hakutatokea milipuko tena TZ lakini baada ya muda yakalipuka mabomu mengine gongo la mboto.
   
 9. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kauli kama hizi zingetolewa nchi zingine rais angewajibika kwa kujiuzulu.
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Meli kubwa kwa wakazi wa Bukoba ambayo Jk aliahidi!!
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Edward Lowasa alishauri kukaa meza ya makubaliano baina ya CCM na CDM kwenye sakata la meya arusha ili kuepusha ghasia lakini ushauri huu ulipingwa na Mzee Makamba tena kwa kejeli na majigambo na matokeo yake watu watatu wakapoteza maisha Arusha ktk ghasia zilizotabiriwa na Lowasa kuhusiana na sakata hilo meya wa arusha.
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kujivua gamba within 90 dys.
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ifikapo Dec 2011 mgawo wa umeme utakua historia na umeme wa ziada tutauza nje
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unadhani watawala wetu wana akili timamu kweli au wao hutuona sisi wananchi majuha ?
   
 15. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ahadi ya Kigoma kuwa Dubai ya Africa.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  walioiamini hii ahadi watakuwa ni wendawazimu, wapumbavu na wehu 100%
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Misenyi
  Bajaji 400 za wajawazito
  Kamanda Lema kukaa gereza la Kisongo kwa siku 14
  David Jairo
  Rais wetu mpendwa na safari za nje zisijoisha
  Rais wetu mpendwa na matatizo ya kuanguka hovyo
  Kafulila kuvuliwa uanachama wa NCCR na kuangua kilio
  Rostam Aziz
  Mauaji ya Arusha ya Jan. 5
  .................................................
  .................................................
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yaonyesha una hasira sana punguza jaziba mkuu hii ndiyo Tanganyika under Sisyemu
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa nini watanzania wengi ni maskini.
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Viongozi wetu ni majiniasi ila wananchi ndio mbumbu!!

  Kati ya mtu anayeuza vitu vyake vya thamani kwa hasara na mnunuzi nani kati yao ni kilaza???
   
Loading...