CCM haitishwi na gharama za uchaguzi Kigoma kusini, inalitaka jimbo kwa udi na uvumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM haitishwi na gharama za uchaguzi Kigoma kusini, inalitaka jimbo kwa udi na uvumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Dec 20, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Katika mambo ambayo CCM haitaki yatokee kwa sasa, ni endapo kama Kafulila atasamehewa na kurudishiwa uanachama wake. Ukisikia kiongozi wa CCM anasimama nyakati hizi na kujidai kusikitika juu ya gharama za uchaguzi huo, jua huyo ni mnafiki. NCCR kama kweli nyinyi ni chama cha upinzani wa kweli. Rudini katika meza ya mazungumzo, mpeni kijana onyo na kalipio kali ili kiti hicho kisipotee. Vinginevyo wapinzani mpende msipende hesabuni kuanzia sasa jimbo hilo ni la CCM.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Watu wa kigoma si wajinga kama unavyofikiri'
   
 3. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli.Thamani ya jimbo kwa CCM ni zaidi ya watu wanavyofikiri.Jamaa watafanya kila wanaloweza ilimradi wachukue jimbo lao.Sipendi kuingilia mambo ya kikatiba ya NCCR ila nadhani busara zaidi ingetumika ku deal na Kafulili badala ya kumtimua.Naamini chama kingeamua kumdhibiti kwa namna nyingine za kinidhamu kingeweza kabisa.Ni hasara kutumia bomu kuua sisimizi.
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hata CCM wanahofu kubwa kama wanaweza kulichukua kirahisi kihivyo maana wanakumbuka mziki wa Igunga ulivyo kuwa na gharama zake 12bil si haba

  La msingi kuona NCCR wanampa karipio kali David maana nafasi ipo labda naye analijua hilo kuwa hawawezi kumtimua moja kwa moja kwani kuna mlango wa juu wa kutokea anaweza akatoka ngoja tuone maana wengi wameshauri kuwa busara za wazee zitumike
   
Loading...