MBUNGE wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM) amemjia juu Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) akimtaka kuacha kuubeza uteuzi wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Taifa ya...
Sote tunaamini serikali ya Tanzania ya sasa haiwezi ikasomesha wananchi wake wote, ijapokuwa ni haki ya wananchi kusomeshwa na serikali waliyoiweka madarakani. Serikali ya Tanzania ilianzisha bodi...
Bw kafulia,pokea haki yako hiyo kwa mikono miwili wape salamu na wanafiki wengine wambie Mungu ameamua kuwakomboa Watanzania dhidi ya wanafiki.USHAURI WNG PUNZIKA SIASA TAFUTA CHUO KASOME UTANUWE...
This is what they always think:
BBC News - Nigeria churches hit by blasts during Christmas prayers
Ni mtizamo tu. Mods mkitaka mhamishie kwenye internationa forum, au mnipige ban.
nshazoea.
Jinsi Kilimo kwanza inavyochukuliwa maana yake ni kuwa Wawekezaji kupewa ardhi kubwa, walime halafu faida yote wapeleke nchini kwao!!!
Watanzania wapewe fursa walime, wakopeshwe na faida itabaki...
Inasemekana Kuwa wakati mafuriko yakiendelea siku ya pili watu walikuwa kwenye vikao vya wokozi wakigawana Posho badala ya kwenda moja kwa moja eneo la tukio na vifaa vya kuokolea watu ikiwa hii...
Mh Rais swala hili limezua mjadala miongoni, tunaomba majibu haraka ikibidi. Kwa nini hujibu mapigo dhidi ya tuhuma za Mh Lowasa alizozitoa nec juu yako.
Kukaa kwako kimya kunafanya tuamini kuwa...
Kila siku huwa nasema hapa kuwa mimi si shabiki wa chama chochote cha siasa bali ni mfuasi wa hoja za nguvu na maneno ya maana. Nimemuona Mh MBOWE Kupitia mlimani TV akitoa maneno na nasaha zake...
- People unajua NCCR wanatukumbusha umuhimu wa kuondoa utitiri wa Vyama vingi hewa vya Upinzani tulivyonavyo. Wakati umefika ni muhimu through katiba mpya tukavunja vyama vyote vya Upinzani na...
Mwaka unaisha tukiwa na kubukubu ya viongozi au watawala waliondolewa madarakani kwa kutaka au lazima sio wengine ni
1 Hosin mbaraka-misri
2. Mohamed Gadaffi-libya
3.-----------------------...
Ufuatao ni utabiri wangu kwa mwaka 2012
mwaka 2012 is around the corner, tunataraji kuona mengi na baadhi yake ni haya
1. David kafulila kurudi CHADEMA na kulichukua tena jimbo la kigoma kusini
2...
Jimbo la Nyamagana limejijengea utamaduni wa kuongozwa na mbunge mpya kila baada ya Miaka mitano. Nadhani hili linaeleweka vizuri kabisa hata kwa Mbunge wa sasa Mheshimiwa Hezekiel Wenje.
Hivyo...
napenda kuwatakia wanajamii forum waote,sikukuu njema ya christmass na mwakampya,kama unavyojua tumepitia kipindi kigumu katika jamii hasa katika masuala ya msingi kama hali ya...
Madiwani Mbeya wamweka Meya njia panda
Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, amewekwa njia panda na Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, baada ya kutakiwa kujibu tuhuma nane zinazomkabili...
Nakisoma hichi kitabu ambacho kila mwanasiasa hasa wa ccm na chadema hupenda kuki-refer naona kichefuchefu nafikiri kuna haja ya kuipinga kwa nguvu zote ili isiendelee kupotosha vijana wetu kwani...
Nimekuwa nikipita pita huku vijijini kama mikoa 3 hivi wananchi wanavyoongea kuhusu ccm ni dhahiri kuwa wamechoka.Mambo makubwa wanayosema ni ufisadi na maisha magumu.Kwa kweli wasipobadilika...
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe...
Hbr. Wanajamvi.
Jana nilikuwa kwenye msiba, ambpo pamoja na utani wa makabila yetu, SIASA huwa ni ajenda mhimu watu wenye uelewa tofauti wanapokutana. Kati ya vitu tlivyoongea, kimoja kimenivutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.