Natangaza nia: Nyamagana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nia: Nyamagana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Dec 23, 2011.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Jimbo la Nyamagana limejijengea utamaduni wa kuongozwa na mbunge mpya kila baada ya Miaka mitano. Nadhani hili linaeleweka vizuri kabisa hata kwa Mbunge wa sasa Mheshimiwa Hezekiel Wenje.

  Hivyo napenda kuchukua hatua ya awali ya kutangaza kwamba, kwenye uchaguzi wa Mwaka 2015 nitatia timu kwenye kiny'ang'anyilo hicho sababu muda huo ukifika Jimbo litakuwa wazi
   
 2. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ainisha sifa zako hapa na weka jina lako halisi usiwe muoga,lakn sio kila siku Alhamisi mkuu a utagombea kupitia tiketi ya cham gani?
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kupitia chama gani?
   
 4. R

  Rutatinisibwa Senior Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35

  Iwe oli Laurence Masha ninkumanya! kwa kuwa watu wamezoea kutoandika majina halisi unafikiri ukiandika hivyo tutafikiri sio ww ila huyu ni ww! na chama ni hicho chako cha mapinduzi ya kijani, na kweli mmepindua mpaka mumetuletea kijivu!
   
 5. r

  rwazi JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ivi, 2015 wana jamiiforums ndo watachagua mbunge wa nyamagana, kawatangazie unaotaka kuwaongoza labda kama unataka tukuchague uwe mbunge wa nyamagana kwenye mtandao.
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu natumia simu ila nilitaka kujua umejiunga lini lakn kwa wadau wanaona michango yangu hakika mie huyo umdhaniae mkuu kwa hyo jaribu kufuatilia michango yangu utajua mimi ni CDM au CCM,niombe radhi mkuu wa kunidhalilisha kwani cjawahi kua CCM asilani!
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huo ni mkwara tu: uwe CDM au mwana CCM yote kwa yote hakuna jipya tunaloweza kutarajia kutoka kwako, mwenye kutaka kugombea agombee tu maadam awe na uwezo wa kuchakachua matokeo kwani imeisha kuwa desturi..
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilitegemea kusikia sera au mikakati mipya ya namna au njia nzuri zaidi yenye unafuu na ya uhakika ya kuwawakilisha wana-nyamagana vema katika kuleta maendeleo ya jimbo lako na taifa kwa ujumla.

  Otherwise mimi naona mnaganga njaa tu hapa na wala kweli haimo ndani mwenu. Kutangaza nia kila mmoja wetu anaweza kwa hivyo tunategememea utupe sababu makini na si kwamba kila baada ya miaka mitano kunakuwepo na mbunge mpya. Na sasa nakuambia this time ataendelea kuwepo aliyepo sasa unless otherwise uje ya mikakati na sera mpya yenye mshiko kwa wana nyamagana......
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa Nyamagana, na kwingine kote nchini hawahitaji vyama vya siasa, wanahitaji Uongozi Bora,
  Japokuwa katiba yetu inatunyima uhuru wa kuchukua fursa za uongozi tukiwa nje ya vyama vya siasa,
  bado kuna matumaini ya kujirudishia uhuru huo hasa wakati wa mchakato wa kuandika katiba mpya, hivyo
  kwa sasa siwezi kusema ntagombea kupitia chama gani.

  Moja ya kitu ambacho wananyamagana wamekuwa wakikikosa wakati wote, na dalili zimekwisha jionesha
  kwamba si uongozi wa jiji chini ya CHADEMA wala Mbunge ndugu Ezekiel Wenje watatupatia kwa kipindi
  kilichobaki ni kuchirikishwa kwenye kusimamia maisha yetu.

  Wananchi wa Tanzania wameishafanya maamuzi ya Msingi ya kukipatia chama cha CHADEMA kuiongoza
  Dora yetu, kwa sababu kama kweli kitatekeleza Sera yake ya Serikali za Majimbo basi watanzania watakuwa
  wamerudishiwa fursa adhimu ya kusimamia mambo yao wenyewe.

  Chini ya Mfumo wa Utawala wa CCM fursa ya wananchi kufanya maamuzi yanayogusa maisha yao ya kila
  siku haipo, ndio maana chama cha mapinduzi kinaamini kwamba namna pekee ya kurudisha imani ya wananchi
  kwake ni kufukuza baadhi ya wanachama wake, kitu ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwenye maisha wa
  watanzania.

  Lakini, hata sasa, na hata kama chama cha mapinduzi kitaendelea kushikiria dora baada ya uchaguzi wa 2015,
  bado kuna nafsi kubwa sana kwa wananchi kushiriki katika uongozi wa mambo yao, Hili ni Jambo ambalo nitalisimamia
  kikamulifu kabisa.
   
 10. k

  kipinduka Senior Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jitambulishe
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Gombea wananchi ndiyo watakaoamua nani wamchague.
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  maoni yako kuhusu CCM kwamba hakuna uwazi sikubaliani na weye.. any ways Good Luck!! basi ukifanikiwa posho yako ya kwanza changia JF
   
 13. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Muda Ukifika kila kitu kitakuwa wazi, cha msingi ni Kwamba
  Nimezaliwa Mwanza - Ilemela/Nyamagana, nimesoma Mwanza elimu ya Msingi Mpaka mpaka A-Level,
  Mwaka 2011 nilijiunga UDSM na kugraduate 2005, Mwaka 2005 mpaka 2010 nimekuwa Dar Kimaisha zaidi,
  Mwaka 2010 mwishoni nimehamishia makazi yangu Mwanza.

  Kitu kingine ni Kwamba, Wakati umewadia kwa wazawa wa Nyamagana kuongoza Jimbo Lao, wote hawa
  mioyo yao haijawahi kuwa kwa wana mwanza (Ilemela/Nyamagana)
  1. Antony Dialo
  2. Lawlence Masha
  3. Mabiti
  4. Shomari
  5. Wenje

  Na wote hawa wamepata fursa za kutuongoza sababu kila wakati wa uchaguzi ukifika, Mwanza
  imekuwa na kiu kubwa ya mabadiliko,

  Wenje anakibarua cha kutimiza ahadi zake ili kuifisha kiu ya wana nyamagana
  kuhitaji mabadiliko, na ninamtakia kila la kheri, na kwa sababu niko
  hapa full time, naamini kwamba atapata msaada wangu kama wakaazi wengine wa Nyamagana
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Msitegemee kumsikia Masha kutokea Nyamagana Maisha yenu yote, na atakuwa ni sikio la kufa kama atatia miguu yake
  pale tena, kama anataka kurudi Bungeni ni bora akatokee sengerema. Ni ngumu zaidi kwa Masha kuwa Mbunge wa Nyamagana
  kwa mara nyingine kuliko Ngamia kupita tundu la sindano.

  Cha hajabu ni kwamba ameisha anza mikakati hiyo, acheni tuendelee tutaona mwisho
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu mnielewe tafadhali hayo ni majina tuu mie sie Lau Masha naomba nieleweke na mleta mada hope mmemuona aalivyojipambanua kwa hyo mie sie huyo umdhaniae kabisa na naomba nieleweke wakuu kwa hilo
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni vyema ungetazama principles zinazozaa hayo mabadiliko.
   
 17. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,145
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  penye red hujasomeka vyema!
   
 18. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  jimbo la mabula hilo!
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Nadhani alimaanisha 2001.itakuwa typing error
   
 20. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Daaaaah!
  Nimeshaanza kuelewa chanzo cha umaskini wetu!
  Tunafikiri juu ya uchaguzi muda woooooooooote.
   
Loading...