wanajamii forum herini ya christmass and happy new year

wanajamii forum herini ya christmass and happy new year

JOB SEEKER

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
145
Reaction score
33
napenda kuwatakia wanajamii forum waote,sikukuu njema ya christmass na mwakampya,kama unavyojua tumepitia kipindi kigumu katika jamii hasa katika masuala ya msingi kama hali ya kisiasa,elimu,pamoja na majanga mbalimbali katika taifa letu.
 
na kwako pia,nikupe matumaini kuwa tiba ya hayo majanga is near just 2015,,
 
Back
Top Bottom