Kafulila pokea mshahara wako wa dhambi ya unafiki kwa Watanzania

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Bw kafulia,pokea haki yako hiyo kwa mikono miwili wape salamu na wanafiki wengine wambie Mungu ameamua kuwakomboa Watanzania dhidi ya wanafiki.USHAURI WNG PUNZIKA SIASA TAFUTA CHUO KASOME UTANUWE SOKO LAKO .achana na mambo ya kupigia mwanadamu mwenzako magoti hii ni kwa sababu hauna njia nyingine ya kutoka.pole zitto,tafuteni njia nyingine
 
Mkuu tuambie basi,vp wameshamfukuza?Jamaa ni chaj ya kobe
 
Bw kafulia,pokea haki yako hiyo kwa mikono miwili wape salamu na wanafiki wengine wambie Mungu ameamua kuwakomboa Watanzania dhidi ya wanafiki.USHAURI WNG PUNZIKA SIASA TAFUTA CHUO KASOME UTANUWE SOKO LAKO .achana na mambo ya kupigia mwanadamu mwenzako magoti hii ni kwa sababu hauna njia nyingine ya kutoka.pole zitto,tafuteni njia nyingine
Democracy haijachukua mkondo wake,mgongano wa mawazo haupelekei mtu kufukuzwa uanachama bali huwa changamoto ktk kukijenga chama na mtoa mada kwenye mada yako zitto anahusikaje mbona unatishia nyau watu wenye hekima huwa hawatishani,mada yako haitopendeza bila ya kumtaja zitto,badilika acha siasa za maji taka
 
Politics is the art of looking for trouble, finding it, misdiagnosing it, and then misapplying the wrong remedies. Both Kafulila and Zitto misdiagnosed the troubles in the NCCR-Mageuzi and hence they applied wrong remedies.
 
Nisaidie kwa lugha yetu.chanzo cha mgogoro wa NCCR ni unafiki na ulafi wa madaraka wa zitto na kafulila.japo mbati naye ana matatizo yake
 
Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto; another obsession. Mpaka Zitto atajwe?
 
Lakini tukumbuke kuwa yote hii ni mipango ya kambi ya CCM kuvuruga upinzani kwa sababu Mbatia ni CCM ila anavuruga NCCR-Mageuzi tu tokea lini kura za siri zikapigwa kwa kunyoosha vidole kama sio kutafuta ushindi kwa lazima kwa sababu watu wataona aibu kutompigia,na mwisho wa siku kafanikiwa kumchomoa mnafiki mwenzake ndani ya chama,jamani watanzania tuwe makini na watu hawa na CCM ina mbinu nyingi za kutuibia kama hizi za kutengeneza puppets katika kila chama.
 
Jamani, mkiyaangalia mambo haya kijuujuu tu mtashindwa kujadili kiini cha tatizo
 
Bw kafulia,pokea haki yako hiyo kwa mikono miwili wape salamu na wanafiki wengine wambie Mungu ameamua kuwakomboa Watanzania dhidi ya wanafiki.USHAURI WNG PUNZIKA SIASA TAFUTA CHUO KASOME UTANUWE SOKO LAKO .achana na mambo ya kupigia mwanadamu mwenzako magoti hii ni kwa sababu hauna njia nyingine ya kutoka.pole zitto,tafuteni njia nyingine

Wanamtaja zitto.
Kumchafua.
Mimi ni cdm.bt mwacheni zitto.
 
Pole kaka kafulia,rudi CDM watakupokea kwa mikono miwili kama mwana mpotevu arudiye kwa babaye!! Ila kumbuka kwamba mdomo uliponza kichwa kikapigwa makofi na sikio halizidi kichwa.
 
Lakini tukumbuke kuwa yote hii ni mipango ya kambi ya CCM kuvuruga upinzani kwa sababu Mbatia ni CCM ila anavuruga NCCR-Mageuzi tu tokea lini kura za siri zikapigwa kwa kunyoosha vidole kama sio kutafuta ushindi kwa lazima kwa sababu watu wataona aibu kutompigia,na mwisho wa siku kafanikiwa kumchomoa mnafiki mwenzake ndani ya chama,jamani watanzania tuwe makini na watu hawa na CCM ina mbinu nyingi za kutuibia kama hizi za kutengeneza puppets katika kila chama.
wote waliopo upinzani walikuwa CCM!! WE hujui?
 
Zitto, Zitto, , Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto. Umemwingiza Kafulila Matatizoni. Mungu anajua mikakati yako mibaya isyiso na nia nzuri na nchi yetu, unanunulika, unahongeka na kuanza kutumia mawazo yako kuwaongoza wengine wafanye fujo kwa niaba yako. ulitufanyia mabaya sana vijana wa CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu uliopita kwa kuwa ulifanya kazi ya CCM, Umemhadaa Kafulila ili uchukue uongozi wa NCCR, sasa mwenzio kapoteza ubunge. utakana tuhuma hii, lakini wanaojua undani watakusikilizia tu. Kafulila ulipaswa kujitegemea kwa kufuata taratibu za Chama chako, wewe ulijielekeza kwa Zitto kwa kuwa alikupa gari ufanye kampeni. Hasara!
 
Zito hana kosa, kafulila ndo mpumbavu mana ameruhusu zito afikir kwa niaba yake, kwahyo upumbavu wake ndo umemgharim. Utakoma
 
Zitto, Zitto, , Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto, Zitto. Umemwingiza Kafulila Matatizoni. Mungu anajua mikakati yako mibaya isyiso na nia nzuri na nchi yetu, unanunulika, unahongeka na kuanza kutumia mawazo yako kuwaongoza wengine wafanye fujo kwa niaba yako. ulitufanyia mabaya sana vijana wa CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu uliopita kwa kuwa ulifanya kazi ya CCM, Umemhadaa Kafulila ili uchukue uongozi wa NCCR, sasa mwenzio kapoteza ubunge. utakana tuhuma hii, lakini wanaojua undani watakusikilizia tu. Kafulila ulipaswa kujitegemea kwa kufuata taratibu za Chama chako, wewe ulijielekeza kwa Zitto kwa kuwa alikupa gari ufanye kampeni. Hasara!

we ni mwehu mkubwa,sasa tuambie Zitto kafanya nini,hik sio kijiwe cha wavuta bangi,mambo yako ya kijiweni yaacheni huko huko,Zitto atawaoa nyie malimbukeni,kama umeshindwa kuwa km zitto bas mwacheni zitto asonge mbele na chuki binafs zenu hazitawafikisha kokote wehu nyie.
 
Ni upumbavu na udhaifu wa kufikiria kumtaja zitto kwenye sakata ili la kafulila na chama chako km munashindwa kufikiria bas kakojoen mukalale kuliko kuropoka mchana kweupe
 
Nadhani Zitto hahusiki na haya mambo ya nccr..hili ni chama la wengine na yeye ni cdm sasa kwanini azushiwe kuhusika?!! hapo ni jamaa yetu mwenyewe amechezea bahati sasa amefulia!!
 
MIE NI MFUASI DAMU WA CDM, NAHISI WENGI HUMU HAMKUIFAHAMU MIPANGO YAKE ZITO NA KAFULILA KTK HII MOVE, KWELI TUSHUKURU MUNGU MBATIA INGAWA NAE NI CCM's PANDIKIZI KAIBUKA MSHINDI, ZITO PIA KAFULILA NJAA KALI WANAONGEKA HAWA, DAILY WANAISAIDIA CCM PLUS KUHUMA NA KUPULIZA WATANZANIA KWA UPANDE WA CDM PLUS WASOWAJUA VIZURI. INSHORT ZITO ALIPANGA KUAMIA NCCR BAADA YA MBATIA KM ANGESHINDWA KTK HII MOVE NA APO ANGEONDOKA NA WAFUASI WAKE WENGI AMBAO WANADANGANYIKA KUWA ZITO NI MTU MAKINI NA APO NGUVU YA CDM INGESHUKA NA FUTURE YA CDM INGEINGIA MATATANI KWANI ALIPANGA UKO KUGOMBEA ATA URAISI KWA MANUFAA YA CCM, APO CDM INGEDHOOFIKA NA APO CCM ANGEENDELEA KUSUMBUA NA ANGEPATA EASY CHANCE YA KUSHINDA KTK CHAGUZI ZIJAZO, KWANI CDM INGEKUWA IMEGAWANYIKA KWA KIASI KIKUBWA,MY TAKE... SASA DAWA NI CDM WAWE MAKINI NA ZITO, ZITO HAJUE MIPANGO YAKE IKO BAYANA NA HAJIREKEBISHE KWANI PIA NI MTANZANIA, IKIBIDI KTK CDM WATU KM ZITO, SHIBUDA NA WENGINE NDUMILAKUWILI, CDM ISIWAPE NAFASI SANA ZA JUU KWANI HAWA WANAFANYA KAZI KWA NIABA YA CCM TUMESHAWABAINI NA IKIBIDI WAJULISHWE WAJUE MAKOSA NA JAMII IWAJUE VIZURI ILI ATA WAKIONDOKA CDM WAJULIKANE KUWA NI MAPANDIKIZI TU WA CCM NA CDM IENDELEE KUELEWEKA KWA WANANCHI KUWA IMEWATOSA MAPANDIKIZI NASI TUTAWAELEWA VIZURI IVYO.MUNGU IBALIKI CDM MUNGU IBALIKI TANZANIA, AAAAAAMEN
 
Back
Top Bottom