Ushauri kwa wana CCM

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
Nimekuwa nikipita pita huku vijijini kama mikoa 3 hivi wananchi wanavyoongea kuhusu ccm ni dhahiri kuwa wamechoka.Mambo makubwa wanayosema ni ufisadi na maisha magumu.Kwa kweli wasipobadilika sijui mpaka watoto wa shule ya msingi utasikia wanataniana kujivua gamba.
 
Sio mikoa mitatu, yote sasa hata ile ya pwani waliyoimwagia sumu ya udini naona sumu inapungua nguvu. Hawa jamaa ni sikio la kufa, hakuna kuwapa ushauri wala nini kwanza huwa hawasikilizi, acha wajifie watu tutawale nchi yetu. Naichukia CCM kama Mafuriko.
 
Back
Top Bottom