Watawala walioondoka 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watawala walioondoka 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wizaga, Dec 25, 2011.

 1. wizaga

  wizaga Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka unaisha tukiwa na kubukubu ya viongozi au watawala waliondolewa madarakani kwa kutaka au lazima sio wengine ni
  1 Hosin mbaraka-misri
  2. Mohamed Gadaffi-libya
  3.-----------------------
  4.---------------------
  5.--------------------
  6.osama na wasaidizi wake
  7.ongeza niliosahau. pia tunategemea wengine kuondoka 2012 ambao ni
  1.sarehe -syria
  2.ahmatn-iran
  3.putin -russia
  4------------
  5.------------
  6.-----------
  waweza kuwaongezea pia
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu labda kwingine ila kwa Russia Putin na Vlandimir wale mmoja akiwa rais mwingine anakuwa waziri mkuu.
  Btw sio 20011 ni 2011.
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Watakaoondoka
  6:Jayaka Kiketwe
   
Loading...