Utabiri wangu kwa mwaka 2012

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Ufuatao ni utabiri wangu kwa mwaka 2012
mwaka 2012 is around the corner, tunataraji kuona mengi na baadhi yake ni haya
1. David kafulila kurudi CHADEMA na kulichukua tena jimbo la kigoma kusini
2. maisha ya watanzania kuendelea kuwa magumu zaidi na thamani ya shilling kuendelea kuanguka
3.Mbunge feki wa shinyanga mjini kutolewa ubunge kama si kwa njia ya kimahakama ni kwa njia ya maandamano makubwa ambayo mimi na wenzangu wachache tutayaongoza
4.Nguvu ya CHADEMA kuongezeka maradufu na safari hii dr wa ukweli kuanza kushiriki matukio yote ya kitaifa
5.Minyukano ndani ya chama cha mapinduzi kuendelea na safari hii makada wakubwa wa chama hicho kupigwa mieleka kwenye chaguzi za ndani ya chama
6.Chaguzi ndogo 3 kushuhudiwa na zote peoplez power ikichukuwa hayo majimbo
7. NCCR mageuzi kufa rasmi
8.CUF au maarufu kama CCMb kusambaratika hasa baada ya maalim seif kushindwa na Hamad rashid nafasi ya ukatibu mkuu
9.Wanasiasa vijana wakiongozwa na Zitto kabwe, Godbless Lema ,Regia mtema, Lusinde , Kafulila kuendelea kuisumbua serikali dhalimu ya cCM ndani na nje ya bunge
10.Jimbo la uchaguzi la Bunda kuwa wazi kutokana na uzee
11. Dar young African kutwaaq ubingwa wa africa

NB: huo ni utabiri wangu jamani naomba maoni yenu
 
Mkuu,
Nimeona utabiri wako wote na yote ni sahihi ila kuna kitu kijakielewa ni kuwa jimbo la Bunda litakuwa wazi kwa kipi? kwa uzee kwa maana hiyo rais ajaye wa Tanzania kama ambavyo uvccm bagamoyo walisema kuwa jina lake liko mezani mwa Jk ndugu wassira atakuwa past tense?
All in all yote uliyoyataja ndiyo yatakayotokea keep it up sheikh yahaya mpya
 
12. Ajali za barabarani zazili kuchukua maisha ya watanzania
13. Uchumi wa Tanzania wazidi kupaa - Mkulo
14. Mvua za masika zaua Dar
15. Hameni mabondeni - Kikwete
16. Sheria ya Manunuzi kurekebishwa tena. Ni kwa ajili ya kuruhusu ununuzi wa vifaa Mfu vinavyoweza kufufuliwa
17. Dar Young Afrika yatwaa tena Ubingwa
 
Ufuatao ni utabiri wangu kwa mwaka 2012
mwaka 2012 is around the corner, tunataraji kuona mengi na baadhi yake ni haya
1. David kafulila kurudi CHADEMA na kulichukua tena jimbo la kigoma kusini
2. maisha ya watanzania kuendelea kuwa magumu zaidi na thamani ya shilling kuendelea kuanguka
3.Mbunge feki wa shinyanga mjini kutolewa ubunge kama si kwa njia ya kimahakama ni kwa njia ya maandamano makubwa ambayo mimi na wenzangu wachache tutayaongoza
4.Nguvu ya CHADEMA kuongezeka maradufu na safari hii dr wa ukweli kuanza kushiriki matukio yote ya kitaifa
5.Minyukano ndani ya chama cha mapinduzi kuendelea na safari hii makada wakubwa wa chama hicho kupigwa mieleka kwenye chaguzi za ndani ya chama
6.Chaguzi ndogo 3 kushuhudiwa na zote peoplez power ikichukuwa hayo majimbo
7. NCCR mageuzi kufa rasmi
8.CUF au maarufu kama CCMb kusambaratika hasa baada ya maalim seif kushindwa na Hamad rashid nafasi ya ukatibu mkuu
9.Wanasiasa vijana wakiongozwa na Zitto kabwe, Godbless Lema ,Regia mtema, Lusinde , Kafulila kuendelea kuisumbua serikali dhalimu ya cCM ndani na nje ya bunge
10.Jimbo la uchaguzi la Bunda kuwa wazi kutokana na uzee
11. Dar young African kutwaaq ubingwa wa africa

NB: huo ni utabiri wangu jamani naomba maoni yenu

Namba 6 mkuu ni majimbo yapi hayooo?
 
1:Namba 9 ipo wrong kwani LUSINDE hana ubavu wa kuisumbua serikali maana ni kilaza kuliko wabunge wote wa bunge la Tanganyika!
2:namba saba si rahisi,kwani NCCR wamejenga heshima kubwa juu ya kuheshim katiba yao,hivyo hilo litawajenga siku za usoni.

Otherwise ni utabiri mzuri;I like it!
 
1.jimbo la shinyanga mjini
2.jimbo la kigoma kusini
3.jimbo la segerea
4.jimbo la mwibara lakini ccm watakata rufaa
 
1:Namba 9 ipo wrong kwani LUSINDE hana ubavu wa kuisumbua serikali maana ni kilaza kuliko wabunge wote wa bunge la Tanganyika!
2:namba saba si rahisi,kwani NCCR wamejenga heshima kubwa juu ya kuheshim katiba yao,hivyo hilo litawajenga siku za usoni.

Otherwise ni utabiri mzuri;I like it!

nani kakudanganya kwamba wananchi watachagua CCM C(NCCR MAGE WA UZI) 2015 ndo mwisho wa wao kuwa na mbunge
 
Ndugu, utabiri hauhitaji maoni, maana hayo yanakuwa ni maono, fikira na mtazamo wako. Kuomba amaoni ya wadau ni si -sahihi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom