Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ZANZIBAR umekuwa huru na wananchi wako wametulia , lakini Tanganyika inakaliwa kwa mabavu na viongozi wa CCM, wanateka kila haki ya msingi ya wananchi, wametutungia katiba ya Tanganyika na...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi ameteua Kamati Maalumu ili kukamilisha mchakato wa kupendekeza vazi la Taifa ambalo litakuwa miongoni mwa vitambulisho...
1 Reactions
104 Replies
11K Views
Angalizo: Tokeo hili lilichapishwa kwenye gazeti la Mwafrika 1962. Swali je hivi leo, ambapo viongozi wetu wanawakumbatia wawekezaji, kuna yeyote kati yao anayeweza kufikia maamuzi kama haya...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Imekuwa ni kawaida wenye nyumba kunyanyasa wapangaji,kama upangishaji wa nyumba ni biashara kama biashara zingine e.g guest,hotel.kwanini usiwekwe mfumo wa kuwalazimisha wenye nyumba wapate leseni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WANAJAMVI WENZANGU: Kuna hii stori katika Raia Mwema le ukurasa wa 3 ambayo naona vyema ni-share nayni, na hasa iwapo kama kuna mtu analifahamu tukio hili na ni nani huyo kigogo wa UVCCM...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Makwaia wa Kuhenga YAPO matukio mawali makubwa ya hivi karibuni. Tukio la kwanza ni lile swali la mwandishi mmoja pale Ikulu alilomuuliza Rais Jakaya Kikwete hivi: “Mheshimiwa Rais, habari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi kilitolea pale Mchikichini kwenye kambi ya waathirika yanga club, CHADEMA pale Sinza mto wa ngombe pamoja na vyakula. Na nyie toeni ila yasiwe mashindano.
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Wadau, Nianze kwa kutoa Pole kwa wenzetu wote waliofikwa na Maafa, pia niwapongeze waliosaidia juhudi za Uokoaji na wanaoendelea kuwasaidia na kuwafariji Wahanga wa Janga hili. Kisha niwapongeze...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Written by amini // 25/12/2011 // Habari // No comments CHAMA CHA MAPINDUZI AZIMIO LA ARUSHA NA SIASA YA TANU JUU YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA Imetolewa na Idara ya Habari, TANU, Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Breaking News 02:53 Livni: Possible to work with world, not against - PA negotiator: We may withdraw recognition of Israel Palestinians may cancel agreements signed between the PLO and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Published On: Sat, Dec 24th, 2011 Tanzania | Published On: Sat, Dec 24th, 2011 Traffic jam has, to everybody's surprise, temporarily shifted from Dar es Salaam to Moshi following an abrupt...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiki ni kitabu Cha Chama Cha Mapinduzi Cha Mwaka 1967 ambacho kinaeleza Misingi ya Azimio La arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Unaweza kujionea pale ambao Tumeenda Mrama na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sentensi hiyo yaweza kuwa kweli au si kweli; kama unafikiri ina ukweli jadili kwanini na kama unafikiri si ya kweli ina walakini tuelezee kwanini. Clue: watu wa "mabondeni" ni wale wote ambao...
4 Reactions
118 Replies
10K Views
Wakati sakata la kuongezwa posho za wabunge likiwa bado linafukuta Tanzania bara, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) wameongezewa posho na mshahara na kuanza kupokea kwa mwezi Sh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau mtanisamehe,mimi nimekua nikitatizwa na utambulisho wa Serikali yetu hii pendwa,naomba msaada,hivi serikali yetu ya muungano inapaswa kutambulika vipi kati ya SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya ku-stop allowance pesa hiyo itapelekwa wapi? Nauliza kutokana na uhakika kwamba spika alisha bariki ulipaji huo. Ina maana kulikuwa na pesa ya kutosha kulipana allowance hizo kwa vikao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe Media Group inawafanyakazi kibao Mwanza, nimebaini leo wakituma salamu za Krismasi.Ilikuwaje Mh. Diallo akapigwa mweleka na kijana mdogo wa kichaga Mh. Kiwia wa CHADEMA. Wafanyakazi wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo katika taarifa ya habari, Mlimani TV, Mwenyekiti wa Taifa CDM,bwana Mbowe, kasema kuwa wameamua kuwapa wale wahanga wa mafuriko moja kwa moja misaada hiyo, bila ya kupitisha kwa kamati zilizo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mchakato wa vitambulisho vya RAIA vya Taifa umeanza. Pale Chuo Kikuu Kampasi kuu, wafanyakazi wanajaza fomu za kupata vitambulisho hivyo. Fomu zinazojazwa zimeandikwa kwa Kiingereza. Maswali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawapongeza CDM kwa kiwango chao cha kujali matatizo ya wananchi. Kwa siku mbili CDM wamekua na ziara ya kukagua maeneo ya maafa ya mafuriko Dar es salaam pamoja na kambi za waathirika. Wakati CDM...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…