Tuache kuwaungo mkono wapalestina ikiwa plo ikituata kiburi cha hamas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache kuwaungo mkono wapalestina ikiwa plo ikituata kiburi cha hamas

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tango73, Dec 26, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Breaking News 02:53 Livni: Possible to work with world, not against -

   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ikiwa PLO itajiunga na Hams na Islamic Jihad kutoitambua Israel, watanznaia tusiwaunge mkono wapalestina na tufunge ubalozi wao. kutoitambua Israel kuna maana gani? ni kuendeleza kuwaua wayahudi wasio na hatia ili eti waikimbie nchi yao ya ahadi.

  madikteata waliokuwa wanalazimisha waafrica wawaunge mkono wapalestina , karibia wote wamekufa hapa africa,na sasa tupo katika uhuru wa kidemokrasia. hivyo kuwaunga mkono hawa wauaji wa raia wasiokuwa na hatia ni lazima ufikie kikomo. funga ubalozi wa palestina mara moja na wanyime wapalestina wote ruhusa ya kufanya biashara kwa leseni ya uhamiaji class C.
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nani anawadanganya kuwa Watanzania wote ni Christians and Pro-Jews? Nadhani ungeeenda kuwaambia wenzako kanisani au kwenye vikao vya chama chenu! Acha kabisa ku-generalize mambo!
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Jana uliweka post yenye uendelezeji wa chuki za kidini kuhusu waislamu kwa bahati mzuri wenye akili zao wakaiondoa, na leo tena unaleta post yenye muelekeo ule ule....una matatizo gani wewe?!
   
 5. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dalili zinaonyesha ww ni mfuasi wa yule uncle wa 'upako' aliyeweka bendera ya hiyo nchi pale madhabahuni. Tuondolee udini wako hapa, unatuchafulia jukwaa. Mpuuzi sana ww, unastahili kupuuziliwa mbali.
   
Loading...