wapiga kura ILEMELA NI zaidi ya elfu sitini(60,000) na wafanyakazi waliokuwa wakituma salamu waliwatumia watu wangapi?? na kwanini watu eti kwa kuwa wametokea kuwa wafanyakazi wa media Group basi Bw.Diallo is entitled to their votes ?? uhalali huo umetokea wapi?? na uhalali huo wa ajabu kumpa kura Diallo pia upitishwe na kwa marafiki na ndugu zao pia ?? Hii ndio kaziKumbe Media Group inawafanyakazi kibao Mwanza, nimebaini leo wakituma salamu za Krismasi.Ilikuwaje Mh. Diallo akapigwa mweleka na kijana mdogo wa kichaga Mh. Kiwia wa CHADEMA. Wafanyakazi wake hawakuwa mtaji wake?.