Kwanini CHADEMA wameamua kugawa misaada moja kwa moja kwa waathirika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA wameamua kugawa misaada moja kwa moja kwa waathirika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kabuga, Dec 24, 2011.

 1. k

  kabuga Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo katika taarifa ya habari, Mlimani TV, Mwenyekiti wa Taifa CDM,bwana Mbowe, kasema kuwa wameamua kuwapa wale wahanga wa mafuriko moja kwa moja misaada hiyo, bila ya kupitisha kwa kamati zilizo undwa na Serikali ya Magamba

  Swali ambalo najiuliza, ni kwa nini mheshimiwa Mbowe kaamua kutumia njia kama hii ya kunzunguka mwenyewe na vyakula pamoja na sabuni kwenye marambo wakati magamba yalisha unda kamati za kusimamia ugawaji wa misaada?
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Labda wanaogopa kuchakachuliwa. Lkn wao chadema watakuwa na jibu ktk hilo.
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  wameshtukia ile tabia ya misaada kuishia kwenye kamati ya maafa badala ya walengwa.
   
 4. O

  OSCAR ELIA Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hawaamini kamati ya magamba kwani ni mahodari wa kuchakachua,
   
 5. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ..wanawafahamu magamba kwao kila kila kitu ni dili..leo kwenye taarifa ya habari wahanga wanalalamika kuwa magamba wanaondoka na misaada wanapeleka ma kwao,,hii hatary hawafai hata kukaa na mgojwa
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  michango ya gongo la mboto mingi imeenda kwa watendaji tu, na si kwa waathirika
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,798
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Katika ziara yake hiyo, Mbowe alielezea kusikitishwa kwake na taarifa za kuwapo kwa watu wasio waaminifu wanaodaiwa kuiba misaada iliyotolewa kwa waathirika.

  Alisema kitendo hicho si cha kibinadamu na kuwataka wahusika kuacha kufanya hivyo, kwasababu ni kutakatisha tamaa watu wenye mapenzi mema kujitolea kuwasaidia waathirika.

  “Juzi (jana) tumetoa misaada, lakini usiku tukapata taarifa kuwa kuna watu wanashirikiana na baadhi ya watendaji kuchakachua chakula cha misaada na kuuza, taarifa hizo siyo njema hata kidogo. Nitumie fursa hii kuwataka wahusika waache sababu za kuwakatisha tamaa hata watu wengine wanaotoa misaada na wenye nia ya kusaidia,” alisema.
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ​Hakyanani ukiwaachia mgonjwa anakufa kwa njaa siyo kwa ugonjwa!
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  magamba mil 4, cdm mil 25
   
 10. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kufa kufaana ndio wimbo wa magamba hasa ile kamati yao ya maafa...
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kwa sababu wakiwapa serikali ya CCM wataiba!
   
 12. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anatafuta umaarufu
   
 13. Y

  Yetuwote Senior Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni njia sahihi, misaada inafika kwa mlengwa haraka kwa kiwango kilicho tarajiwa.
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mkuu unauliza nini,si umesema magamba tayari?
  Yatachuna na kukwangua hiyo misaada.
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kutafuta umaarufu kwa njia sahihi namna hii ni safi kabisa!
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndiyo njia effective kuhakikisha msaada unafika kwa watarajiwa!
  After all wameipunguzia kamati husika gharama in the name of muda, petroli usumbufu na manpower!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Huenda bado hawaitambui serikali!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Viva cdm
   
 19. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamati ya maafa haina sura ya umoja wa kitaifa, hivyo ukikabidhi misaada pale mopja kwa moja inakuwa inatekeleza sera za CCM na jamaa watapaza sauti kusema angalia serikali yenu inawajali. Wewe hukuangalia waliokuwa kwenye Helicopter ni wao tu hata kiongozi mmoja wa kutoka hivyo wanavyoita vyama vya upinzani hakuwepo. jamaa wabaguzi sana hawa, wanaweza kulia hata msiba peke yao ajabu:juggle::poa
   
 20. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Magamba yataiba.
   
Loading...