Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Dec 24, 2011.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Chama Cha Mapinduzi kilitolea pale Mchikichini kwenye kambi ya waathirika yanga club, CHADEMA pale Sinza mto wa ngombe pamoja na vyakula.

  Na nyie toeni ila yasiwe mashindano.
   
 2. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kutoa ni moyo na wanao Mjua Mungu hutoa walichonacho na sio ziada waliyo nayo.Mungu atawaongezea kwa kile walichotoa kwa roho safi.Mungu awabariki wote wanaowasaidia hao wahanga wa mafuriko.Poleni sana ndugu zetu.
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,968
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Ccm milioni 4, Cdm milion 20? Mkuu, utashitakiwa kwa uchochezi wewe.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ....Angalia namna watu wanavyokuwa makini au wanavyokosa umakini na wapiga kura wao,CDM wamechota shs mil.25 kusaidia waanga wa mafuriko DSM,CCM wao tena kwa mbwembwe wametoa shs mil.4 kupitia kwa k/muenezi Nape Nnauye....
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo ccm bwana, mipango miji mibovu wao ndiyo wamechngia lkn kutoa kiduchu.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hongera chadema bora mmeonyesha mfano ni kheri kama mmegawa kwa wahanga wa mafuriko kama mmepeleka ofisi ya mkuu wa mkoa hizo fedha hazifiki kwa walengwa na mmempa jamaa huyo mtaji wa kugombea ubunge 2015.
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kutoa ni moyo usiseme ni utajiri!!!
   
 8. b

  busar JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kutoa c utajiri.......
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mzee wa vijisenti angeweza kabisa kukiokoa magamba na aibu hii!
   
 10. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mfadhili wake mkuu mmoja wamemkorofisha akajiweka pembeni na siasa "uchwara",

  mwingine anapumulia hekima za mwenyekiti kama ambavyo mwenyekiti na yeye alipumulia hekima za mwenyekiti aliyetangulia

  Mwingine anaitwa sirikali kwa sasa hai yake ngumu kashindwa kulipa hata wafanyakazi wake.....Hata safari zimepungua, uchumi wapumulia mashine
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Magamba yanajali matumbo yao tu.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii habari kwa CCM siyo nzuri kabisa yaani chama chenye ruzuku na mapato chungu mbovu kinatoa 4ml ni kama utani fulani hivi kwa waathirika. Hii inaonyesha moja moja hawa jamaa hawajaguswa na tatizo hili la mafuriko kabisa, ila ingekuwa harambee ya kampeni ya uchaguzi zingepatika fedha nyingi sana lakini mafiriko watu wapo kimya kama hakuna lililotokea!!!!!
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ccm ni wachumia tumbo. Ruzuku kubwa yote hiyo, bado wanatoa msaada kiduchu hivyo?
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Halafu unaweza kukuta kwa mbwembwe kubwa.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo mnashindana nani ametoa nyingi!..
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Maafa ya Zanzibar Chadema walitoa kiasi gani?.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hoja si kushindana nani katoa nyingi bali kulingana na tatizo lenyewe CCM kutoa 4ml ni kama kudhihaki vile.

  Ndiyo shida ya chama kilichozoea kupewa tu inakuwa ngumu sana kutoa, hata watu wanaopenda sana kupokea wana kaasili ka ugumu wa kutoa kidogo kwa sababu ya mazoea ya kupokea fu.
   
 18. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Milion 4,,kwa mbwembwe za kimbunga,,,,,,,,,,tangu lini wana sisiem wakafanya mema..tangu lini?
   
 19. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Milion 5 km sijakosea, ccm walikuwa busy kuua watu igunga ili washinde
   
 20. w

  watundawangu JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ndiyo CCM na matajiri wao na matumbo yao, Chadema na wananchi wao na maskini wao. Wananchi waambiwe tena na tena kuwa CCM hawana matashi mema na watanzania maskini. Tuachane nao hawa kama wao wanavyoachana na sisi maskini.
   
Loading...