CHADEMA Ardhini, CCM na Serikali yake Angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Ardhini, CCM na Serikali yake Angani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdutch, Dec 25, 2011.

 1. Mdutch

  Mdutch JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza CDM kwa kiwango chao cha kujali matatizo ya wananchi. Kwa siku mbili CDM wamekua na ziara ya kukagua maeneo ya maafa ya mafuriko Dar es salaam pamoja na kambi za waathirika. Wakati CDM wakiongozwa na kamanda Mbowe wakitembea kwenye matope na kuingia kwenye maeneo ya majanga na kujionea hali ilivyo, CCM na serikali yake wakiongozwa na Kikwete mwenyekiti wa CCM na Presdaa wamekua wakitumia Helkopta na wakishuka ardhini basi wanaishia barabarani ambako hakuna mafuriko wala athari zozote.

  Kwa hili, CDM wameujua ukweli wa mambo na ndio maana jana nimemuana kamanda mbowe akiitaka serikali kutafuta mbwa wa kunusa ama vifaa vingine ili kutafuta miili ya watu ambao bado imefukiwa chini na takatakaa.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  CCM wana kazi sana safari hii!
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  naona umeshakopi and paste,katuni.katuni yako na mchango wako ni vitu viwili tofauti
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  we mkunga?
   
 6. Mdutch

  Mdutch JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata hilo nalo jambo kwani magamba wameshindwa kuonyesha ukaribu huo na wahanga.
   
 7. L

  Luiz JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujasikia kuwa wametoa mil 20?
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ukiwa sisiemu ubongo hufubaa ndio maana magamba wote hakuna hata aliyekuwa na wazo la japo kutumia mbwa kusaka marehemu
   
 9. HT

  HT JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli siasa ikishakuwa dini inakuwa mbaya sana. Ulitaka wafanye nini labda? Wajifungie ndani? Watoe vyote walivyo navyo?

  Ni vizuri wangetumia umaarufu wao kufanya fund raising kuwasaidia wahanga lakini sijui wao wamejipangaje. Ila comment yako imeniudhi maana siasa imekufanya kipofu. Mungu akusaidie!
   
 10. HT

  HT JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM iwaachie watu makini ndani ya chama chao washike uongozi. Sioni kwa nini wasiwape nafasi..
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni milioni 25 mkuu,ccm milioni 4
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wazo la fundrising tayari wanalifanyia kazi tagu juzi,soon tutajulishwa ni nini kifanyike
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wanajionesha kwa vipi mkuu?
  Jana wametoa mil zaidi 25 VS mil 4 za magamba!
  viva CHADEMA
   
 14. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hiyo waliyotoa ccm ni posho ya siku moja waliyopewa Ngeleja na Malima kwenye ule mgao wa jairo. Mungu ibariki Tanzania.
   
 15. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaipenda katuni lakini hajui ujumbe uliobeba ile katuni!
   
 16. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jk hawezi kujichafua na matope umesahau zile suti na picha za kina 50? Sisi wathirika acha tukae kwenye matope yetu ila kura zetu zitaonekana 2015
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mpaka Slaa anatoa waraka wake, hamna mwanachadema yeyote aliyekuwa amefika kwenye eneo la tukio including Slaa mwenyewe. Baada ya kuwasema hapa ndio wameamua kujibaraguza.
  Inabidi watambue kuwa, maafa kama haya inategemea mtu umeguswa vipi.kutoa hela nyingi siyo kigezo cha kuguswa sana. CDM inabidi wajifunze kuact on the spot, siyo wasubiri tuwaseme hapa ndio wakafanyie kazi maoni yetu.
  Nawashukuru sana viongozi wa CDM kwa kupenda kuchukua maoni yetu hapa. Huwa wanajidai kutupinga lakini baadaye kinawaingia na kuyafanyia kazi.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Umeona ehee!!
   
 19. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna lolote wanadenda kula zenu2, hata ccm wakishika mkojo wao cdm watashika mavi kuonesha tofauti, cjaona upinzani tanzania wa kiwango cha chini namna hii, na kwa kuwa cc wananchi hatuna Elimu ya uraia bs ndo tunadanganyiiiika,, vi here here hawa.. Angalia suala la posho utagundua target yao ni nn, kwa nn wasiseme kama wao wanaongezewa posho bs na watumishi wengine wa umma waƶngezwe mishahara na posho na kuhimiza watu waongeze bidii katika kazi.
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanawapiga tu porojo wananchi
   
Loading...