Bunge baada ya ku-stop allowance

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,173
Baada ya ku-stop allowance pesa hiyo itapelekwa wapi?

Nauliza kutokana na uhakika kwamba spika alisha bariki ulipaji huo. Ina maana kulikuwa na pesa ya kutosha kulipana allowance hizo kwa vikao vyote vya mwaka.

Baada ya kuambiwa waachane na hilo, pesa hiyo iko wapi?

Yaonekana Muhimili huu wa Bunge unajiwekea pesa nyingi kuliko zinavyohitajika. Wanajichotea tu!!

Kamishna wa bajeti huko Wizara ya fedha atueleze kwa nini anaruhusu Bunge kujilimbikizia pesa kiasi hicho.
 
Baada ya ku-stop allowance pesa hiyo itapelekwa wapi?

Nauliza kutokana na uhakika kwamba spika alisha bariki ulipaji huo. Ina maana kulikuwa na pesa ya kutosha kulipana allowance hizo kwa vikao vyote vya mwaka.

Baada ya kuambiwa waachane na hilo, pesa hiyo iko wapi?

Yaonekana Muhimili huu wa Bunge unajiwekea pesa nyingi kuliko zinavyohitajika. Wanajichotea tu!!

Kamishna wa bajeti huko Wizara ta fedha atueleze kwa nini anaruhusu Bunge kujilimbikizia pesa kiasi hicho.
tatizo la watanzania ni ukimya wetu unatuponza
 
Back
Top Bottom