Ifahamu misingi ya awali iliyounda taifa hili-jipatie nakala yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ifahamu misingi ya awali iliyounda taifa hili-jipatie nakala yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IsangulaKG, Dec 24, 2011.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Hiki ni kitabu Cha Chama Cha Mapinduzi Cha Mwaka 1967 ambacho kinaeleza Misingi ya Azimio La arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Unaweza kujionea pale ambao Tumeenda Mrama na Wapi twahitaji kubadili njia tunayoenda nayo sasa.
   

  Attached Files:

 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nchi imeishauzwa misingi hii itaokoa kipi? Tuombe Mungu atunusuru tu maana tunakoelekea siko kabisa
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  I salute you guy!! thanx much....
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ......Chama cha Mapinduzi mwaka 1967?
   
Loading...