Wana-JF,
Nataka kufahamu ile ardhi ya chuo cha IFM iliyogawiwa kwa waadhirika wa mafuriko Jangwani, itarudi vp? Je maadili yalitumika katika kumshauri Mh Rais? Na je Rais ametumia mamlaka yake...
Katika hali ambayo tayari inadhihirisha serikali ya tz iko hoi bin taaban na inaelekea kushindwa kujiendesha......imefahamika kuwa sasa serikali (kupitia BOT) inajiendesha kwa kukopa hela toka...
Wiki chache zilizopita Mwandishi/ Mchambuzi wa siasa Mayage aliandika makala akikiponda CDM kuwa si chama makini kutawala, na kuwa hawafanyi siasa bali harakati, na kushauri kuanzishwa kwa chama...
pamoja na kupitishwa kwa sheria ya mchakato wa katiba mpya kwa mbwembwe na wabunge wa CCM na ndugu zao CUF, habari za kuaminika ni kuwa serikali inawasilisha bungeni marekebisho ya sheria hiyo...
Taasisi ya Amani ya Kiislam (IFP) imekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kwa kujenga msikiti katika kijiji cha Nshara mkoani Kilimanjaro, msikiti ambao umejengwa kutokana na...
Harakati za kinacho onekana kama kujivua gamba ndani ya chama cha nccr mageuzi zimetoa sura mpya leo baada wajumbe watatu kati ya watano wa mkutano mkuu kutoka mkoa wa mara kutokubaliana na...
Baada ya kufanya mkutano mkubwa wa kumbukumbu ya Jan 5, na wanachi kuchangia Laki nane kwa ajili ya wahanga, leo viongozi wa wilaya wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa wilaya ambaye pia ni...
CCM Sengerema si shwari, wamkataa Katibu wao
HALI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza si shwari, baada ya kile kinachodaiwa Kamati ya Siasa ya CCM...
Jana kwa walioangalia Vyombo vya Habari, Mkataba wa kujenga Daraja na Kigamboni ni tayari na Linatakiwa kumalizika baada ya Miaka 3.
Anayesimamia ni Mh John Pombe Magufuli,na huyu huyu ndiye...
Juzi Mh.Magufuli alipopandisha nauli ya kivuko muling'aka na kuweka tofauti za kichama pembeni huku mukidiriki kumtaka aombe radhi..Tena hii ni ishu ambayo htuwezi kusema ina hatarisha maisha ya...
Hivi karibuni msajili wa vyama vya siasa amekuwa mstari wa mbele kuonyeshwa kutokuridhishwa na baadhi ya vyama kuwafukuza viongozi wake.
Hatumuelewi Tendwa kuwa ni kweli anatetea kukua kwa...
Prudence Karugendo
KWA siku za karibuni zimekuwapo lawama kutoka kwa wananchi na taasisi mbalimbali za kiraia dhidi ya utendaji usioridhisha unaoonyeshwa na watumishi wa umma. Lawama hizo...
Mwanafalisafa mmoja alipata kusema hivi " Unafahamu ni kitu gani kimenishangaza kuliko vyote maishani? Ni kushindwa kwa matumizi ya nguvu kunipatia kitu chochote cha maana na endelevu katika...
Habari za asubuhi ndugu zangu watanzania. Tumekuwa walalamikaji tuu mda mwingi bila ta kutoa majibu ya matatizo yetu yanayo tukabil. Kwa lugha ya picha, tupo ndani ya gari tunasafiri. Ila...
Salaam wadau wote wa JF.
Nipo wilayani Mwanga Takribani wiki tatu sasa. Nimekuwa nikifuatalia ziara ya Mbunge wa Jimbo la Mwanga Prof. Jumanne Abdala Maghembe anayoifanya jimboni mwake kuhusu...
Hakika Watanzania inavyoonyesha japo si lasmi harakati za baadhi ya wanasiasa wengine kwa hiari yao wengine pasi hiari yao wameanza kampeni za kinyanganyiro kisicho lasmi cha kiti cha urais kwa...
KIKAO cha Halmashauri Kuu (Nec) ya CCM mkoani Arusha, kilichokuwa kimepangwa kufanyika kesho, kimeahirishwa tena hadi Januari 14 katika kile kilichoelezwa kuwa ni kutokamilika kwa maandalizi...