Makala ya Mwandishi wa Raia Mwema na kauli ya Mh. Hamad Rashid na hatma ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makala ya Mwandishi wa Raia Mwema na kauli ya Mh. Hamad Rashid na hatma ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Dec 29, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wiki chache zilizopita Mwandishi/ Mchambuzi wa siasa Mayage aliandika makala akikiponda CDM kuwa si chama makini kutawala, na kuwa hawafanyi siasa bali harakati, na kushauri kuanzishwa kwa chama cha upinzani kingine. Dk Slaa amemjibu ktk gazeti hilohilo.
  Siku za karibuni nilimsikia Mh Hamad Rashid akijibu swali kuwa; ikiwa CUF watamfukuza, hataenda chama chengine, bali Mahakamani au kuanzisha chama chengine!
  Je, makala ya Mayage na kauli ya Mh. Rashid, haziashirii mpango mzima kuhujumu CDM? TUJADILI.
   
 2. A

  Apostolos Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mtu ambaye amechoka kama HR hana sababu ya kujadiliwa hapa. Namshauri aanzishe Chama tokea JANA kwani amechelewa sana. Nampa watu 'makini' wa kumsaidia katika chama, hawa ni Kafulia, Zitto, Shibuda. Hicho chama kitatisha sio Tanzania tu bali ulimwengu mzima.

  Kwenye Uchaguzi mkuu ni lazima awachukue nchi. Wana sifa ya ubishi, kujiona wanajua sana, kutaka wao tu wathaminiwe na wanaweza kuongoza (FAMILIA ZAO TU!) na sio zaidi. Ni viongozi 'waliotukuka sana hapa Tz.
   
 3. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  At this point hakuna induvidual anayeweza kuihujumu CDM awe ndani au nje ya CDM, maana hiki kimeshakuwa chama cha kitaifa, we angalia yeyote anayegombea kupitia CDM ni rahisi sana watu kumwelewa kwa haraka na anayeungwa mkono na mtu fulani au kikundi fulani.
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  i was thinking the same from day one when they fired kafulila... hapo mwenye to be the founder's wa chama pametulia.
   
 5. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  na Ben Saanane
   
 6. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hao wote ulio wataja ni wapenda madaraka sasa cjui nani hatakuwa mwenyekiti ?
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe tehe.....
   
 8. t

  tweve JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wamchukue na lyatonga mrema akawe mwenyekiti wao wa hicho chama.
   
 9. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani wazanzibari nao watapewa vitambulisho vya taifa!
   
 10. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  If wishes were horses beggars could ride!
   
 11. m

  muchetz JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  I suppose u meant "If all wishes where horses then beggars would ride one"

  Correct quoting is good... otherwise u are cool
   
 12. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Muongeze tambwe hiza ili awe katibu wao mwenezi. Hapo timu itakuwa imetimia na wanaweza kuchukua urais wa dunia.
   
 13. P

  PETER NYAMWERO Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa siasa zetu zlipofikia hatuhitaji wanasiasa kuikombo nchi hii. kwa hiyo CHADEMA kama inawanaharakati nafikiri ni chama muafaka maana tumefikishwa pabaya na wanasiasa nchi ikifika hivyo wanaharakati ndo msaada.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kivipi? na wasiwasi wako ni nini?
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Makala moja tu ya Mayage inawanyima usingizi Magwanda. Je, akiendelea kuandika zaidi (kitu ambacho Mayage anajipanga kukifanya) si mtachanganyikiwa? Hii inaonyesha hata nyie hamridhiki na majibu ya SLAA ambayo kiukweli hayakukidhi hoja za Mayage.

  Cha ajabu na Hamad Rashid naye ameanza kuwanyima usingizi. Tuwaache waamue wenyewe, na kama Hamad Rashid ataanzisha chama kingine (Chingine kama ulivyosema), yaliyosemwa na Mayage yatakuwa yameanza kutimia.
   
 16. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  CDM imeingia mioyoni mwa wananchi baada ya kujipambanua kama chama kinachopigania haki za wananchi kwa kupigana na ufisadi. Wakiaanza kuruhusu hizi kauli za kina Selasini za kutaka kujiongezea posho, wasifikiri tutaendelea kuwaamini. Zitto si mjinga anapolisimamia hili, hii inamjenga yeye kama Zitto na si chama.
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Tafuta raia mwema matoleo mawili ya mwisho;Dr SLAA amemjibu Mayage kwa ufasaha kiasi cha mayage kuonekana kapanzi kadogo kaliko filisika kichwani!
  Hamad Rashid?
  Muache ajifie mwenyewe badala ya kwenda kufia CHADEMA!
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Obsession.................!
   
Loading...