Tangu lini gazeti la majira mmeanza udaku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangu lini gazeti la majira mmeanza udaku?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anne deo, Jan 15, 2012.

 1. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari ya migogoro ndani ya chadema badala ya kujali ubunadamu zaid kama magazeti mengine na kuipa kipaumbele habar ya kifo cha dada yetu regia mtema.sijajua majira wamefanya ivyo kwa mantiki gani! Mwenyezi mungu awasamehe na ailaze pema roho ya marehemu.
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naomba ufahamu ndugu yangu,yaani mbele ya fedha hizi zinazomwagwa na magamba kuichafua cdm hadi utu unawekwa mfukoni,but the truth is cdm has been here from God's power,wote wanaotafuta kuisambaratisha wanakesha bure.
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Siona Tatizo lao!! Kwani sisi wenyewe ndio tunatakiwa Tuwafundishe adabu!! Tuache Kabisa kununuAa Magazeti yao!! Itakuwa ni adhabu nzuri sana Hiyo!! Hadi wafunge Shughuli zao!! Tunajua mwanzilishi alishatangulia mbele ya Haki!! Na tunaomba hilo gazeti Limfuate Mbele ya Haki
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Siku nyingine uwe unaweka link au kuweka habari hiyo hapa kwani sio wote wananunua majira.
  OTIS
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwananchi,Tanzania daima,Nipashe,The Guardian,The Citizen na mwanahilisi!ndio magazeti nayopendelea kusoma,sio huo uchafu mwingine
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wanachochea wanachoita mvutano wa kugombea madaraka.Hiyo ni habari maalum iliyopikwa na magamba kwa malengo maalum.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Siku hizi gazeti la majira limekuwa likiandika habari za uongo dhidi ya chadema.Lilianza vita na chadema tangu uchaguzi wa Igunga.Sera za gazeti hili zilishabadilika tangu wakati Nape alipofanya ziara ya kutembelea vyombo vya habari.Kinachotakiwa wanaChadema wasusie gazeti hili.Lilishindwa hata kuvumilia msiba umalizike ndio waandike habari zao za hovyohovyo?
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata Mtanzania wamebadilika wanaamdika habari za kweli
   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waandishi wa habari ufahamika kama wanaharakati wa kutetea maslahi ya taifa. Lakini waandishi hasa wa gazeti la majira wapo kwa ajili ya kubomoa upinzani hasa CHADEMA. Wakati wa msiba chacha wangwe walitumika sana kueneza habari kuwa ameuawa na CDM, kule igunga walitumika sana kutangaza habari kuwa CDM imemdhalilisha DC bila ya kutaja makosa ya dc. na sasa wameanza chokochoko baada ya kuona utulivu uliopo ndani ya CDM.
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wamebadilika baada ya bosi wao kutangazwa kuvuliwa gamba
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa jinsi viongozi wa CDM walivyo wakomavu, hawa majira na magamba wao hawatapata kitu. Mimi najua zito kweli anatumiwa na magamba, lakini aangalie asije poteza umaarufu wake ndani ya cham na jamii kwa ujumla.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kwa CDM kuwapuuzia hawa washenzi...!!
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  majira ya umalaya wa uandishi.
   
 14. k

  kipinduka Senior Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka habar iwapendeze wapenz wa cdm?
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Komando Dr Salmin Amour aliwahi kulipiga marufuku hili gazeti huko Zanzibar
   
 16. Imany John

  Imany John Verified User

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Nashukuru.nilishtushwa sana na gazeti lao la jana.
  Waache watapata wanachotafuta
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna tofauti gani kati ya hilo gazeti na Makinda? Dead aliv
   
 18. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hivi umeelewa kinachoongelewa au umekurupuka tu we magamba?
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wewe si mmoja wao?
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Magazeti kama hayo ni ya kupuuzwa tu.
   
Loading...