Kumekuwa na tetesi kuwa wakatisha ushuru katika masoko ya jiji la Mbeya wamekuwa wakichakachua makusanyo ya ushuru katika masoko kwa kuwa na vitabu vya sitakabadhi zidi ya kimoja, Matokeo yake...
1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduates msio na kazi ... kafugeni kuku biashara inalipa sana Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
4. Acheni wivu wa kike ...
baada ya misa itakayofanyika leo katika kanisa la segerea jijini hapa kesho mpendwa wetu ataagwa katika ukumbi wa karimu Jee kiserikali na baadaye Regia atasafirishwa kuelekea nyumbani kwao...
MOD NAOMBA THREAD HII UACHE HAPA KWASABABU MBALI NA KUBEBA MASULA YA MADAKTARI INAMGUSO MKUBWA WA KISIASA NA PIA HAPA NDIPO ITAPATA WASOMAJI WENGI AMBAO NDIYO WAATHIRIKA WAKUBWA WA MGOGORO HUU...
kada wa ccm mussa Tesha aliyemwagiwa tindikali na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chadema akiwa na Mweka hazina wa ccm Mwigulu Nchemba.
Zaidi michuzi
Dear all,
wakati bado tukiendelea kumtafakari mtanzania mzalendo Dada Regia Mtema aliyefariki juzi kwa ajali ya gari, Chadema mkoa wa Dodoma imeonelea ni vema ikatuma ujumbe na salamu za rambi...
Habari kutoka Morogoro zinaeleza kuwa "Watu mbalimbali wamefika ofisi za Chadema wilaya ya Morogoro mjini kutoa pole kutokana na msiba wa Mh. Regia Mtema, baadhi ya wakazi wa Morogoro walikuwa...
This is result of mind control ambayo imefanjwa during single part.
1. Vijiji vya ujamaa ilikuwa njia ya kwanza ya mind control, mtu hakuruhusiwa kumiliki mali, kutangaziwa uzuri na umuhimu wa...
Ni siku ya leo majira ya saa 5 asubuhi katika maeneo ya Uzunguni aishipo Mhe Jaji wa Mahakama Kuu na vile vile ndiye Jaji Mfawidhi Mkoani Arusha, palikuwa nanmtu akikata mti bila tahadhari yeyote...
Nimesoma hapa jamvini kuwa katibu mpya wa wilaya ya mbeya CCM ni Raymond Mwangwale. Nimecheka sana, huyu bwana amesoma sm Azimio na tumesoma pamoja MBEYA DAY 1995-1998. hana kitu na kama CCM...
Salam ndugu zangu JF
Kwanza napenda nitumie fursa hii kumpongeza kwa dhati kabisa dada yetu Regia Mtema kwa kushiriki na kupambana hadi dakika ya mwisho kugombea ubunge katika jimbo la Kilombero...
Katika kuwasili uwanjani kwenye sherehe za muungano aman stadium zanzibar Rais wa muungano ameingia uwanjani kabla ya Rais wa Zanzibar. Kwa maana hii Rais wa muungano anatangulia uwanjani ili awe...
Kutakuwa na Ibada ya kumuombea na kumuaga marehemu Mhe Regia Mtema katika kanisa la RC Segerea saa tisa mchana siku ya kesho J3.
J4 kuanzia saa nne asubuhi mwili wa marehemu utakuwa Katika...
Written by amini
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imependekeza sheria kali ya kupambana na vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi na watendaji wenye tabia ya kuomba ngono kabla ya kutoa...
Katika utafiti uliofanywa na the Economist Intelligency Unit Tanzania imeshika nafasi ya 90 kati ya nchi 165 duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kwa...
Greetings wanaJF
Awali ya yote nichukue fursa hii kuungana na wanaJF wote, familia ya marehemu Regia Mtema na watanzania walioguswa na msiba wa mpiganaji na mwanaforum Regia. Binafsi ulikuwa...
Sunday, January 15, 2012
MWANA-CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI BAADA YA MATIBABU INDIA
MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa katika matibabu nchini India baada...
Wakati huu ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, naomba wanaJF mnisaidie kujua ulazima wa mfumo unaoruhusu viongozi wetu kuwa na nyadhifa katika mihimili miwili tofauti ya dola kwa...
Jamani katika taarifa ya habari ya TBC katika habari kuhusu wananchi wa kilombero kuisihi serikali iwaache wamalizie msimu huu wa kilimo kabla hawajaondoshwa kama ulimuona yule mama aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.