Hii ya Bunge letu na ajali za kushtukizi imekaaje..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Akukweti, Chacha Wangwe, Sarome mbatia, Regia Mtema....list inaendelea...wapo walio koswa koswa..Mudhihir, Mwakyembe....list inaendelea. Mia
 
Kuna wale waliokufa mwaka jana mbunge na mkewe walikua wametoka kwenye mazishi ya kaka wa mke, IPO KI2 HAPA SI BURE KAMA ILE YA S.MBATIA lazma ilikua na mkono wa m2
 
Na hutokea baada ya wahusika kufanya kitu fulani cha maendeleo
 
Kuna wale waliokufa mwaka jana mbunge na mkewe walikua wametoka kwenye mazishi ya kaka wa mke, IPO KI2 HAPA SI BURE KAMA ILE YA S.MBATIA lazma ilikua na mkono wa m2

anaitwa Musa Hamis Silima. alikufa yeye na mkewe. Mia
 
yani Regia ni mwezi disemba mwaka jana alituletea tathmini ya nini amefanya akiwa kama mbunge kichama na kijamii. Kumbe ndo alikuwa anatuaga. Kweli ni huzuni kubwa. Mungu akurehemu dada Regia. RIP
 
Mimi sitakaa niwe mwanasiasa kwa sababu sitaki na siwezi kuwa mchawi au kuishi kwa wasiwasi kama swala!!

Hata mimi hii kazi ilinishinda siku nyingi sana. labda kama siyo Africa
A%20S-danger.gif
A%20S-danger.gif
A%20S-danger.gif
 
She was so honest with smiling face....kama ni mkono wa mtu juu ya kifo chake, basi Mungu mwenyewe na ashughulike na waliohusika kwa maana kisasi ni cha Mungu....Tulikupenda dada lakini Mungu ameruhusu roho yako iuache mwili wako, mapenzi yake yatimizwe. Upumzike kwa Amani dada Regia.
 
kinachonishangaza ni kuwa ajali ya mbunge uhusisha roli, semitrela n.k basi. alafu mara zote anakufa peke yake ktk ajali iyo-alaf huwa ni kwenye ku oveitake lori. Nikawaza kuwa labda Mungu kawapangia wabunge wetu kuwa mwisho wao ni malori tu. Siutaki ubunge wa kitanzania! mbunge asipata ajali anakufa kwa ajali ya sumu.
 
RIP-REGIA- Wengi walimpenda lakini Mungu amempenda zaidi. Poleni wanaJF wote na ndugu wote wa karibu wa REGIA.
 
Back
Top Bottom