Meya feki wa Arusha,akodisha wahuni kuzuia mkutano wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya feki wa Arusha,akodisha wahuni kuzuia mkutano wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jan 15, 2012.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Meya wa kichina,juzi alikodisha wahuni kuzuia mkutano wa Operation zika ccm,Jenga CHADEMA.Akizungumza jana kwenye mkutano huo wa hadhara,Kamanda wa vijana CHADEMA mkoa,NANYARO ambaye ndie mwasisi wa operation hiyo alisema nanukuu..
  Tuna taarifa za kundi la wahuni wanaotumiwa na Meya wa kichina,ambao wana silaha za jadi,mapanga,waliotumwa kuvuruga mkutano wetu leo,nimeripoti polisi,lakini natoa ONYO,ole wake yeyote atakaedhubutu kuvuruga mkutano wetu leo,tutamshughulikia,naapa tutakushughulikia,kwani tumejipanga vya kutosha.Tutampinga Lyimo,na kuusema ukweli,maana tumechagua kutokuogopa.......
  Katika mkutano uliofurika watu,eneo la Big sister,CHADEMA walitangaza bendera zote kupepea nusu mlingoti,pamoja na daftari la rambirambi linalopatikana ofisi ya mkoa Ngarenaro,
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  meya feki lakiniataongoza jiji mpaka 2015
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Meya tapeli
   
 4. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hata wewe no plan no vision very myophia also never be supported with visioned people
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Peaneni moyo tu.
  OTIS
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nukuu ya Nanyaro ndiyo inayoniacha hoi. Tumechagua kutokuogopa.
   
 7. k

  kipinduka Senior Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Feki huku ndio mtoa maamuz,kilele zote lakin mpo nje ya mashindano,kwel makamba kawaweza kibul chote mfukon
   
 8. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kuweni wastaarabu. Haivumiliki kumwita Mstahiki Meya kuwa ni feki.
  Pengine Nanyaro na genge lake ndio feki. SHAME ON YOU!
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wewe ni..
  images.jpg
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Baada ya uchaguzi mdogo wa madiwani utakuja kutufahamisha kama bado jeuri ipo.
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Matatizo ya talaka ni mabaya..kumbe uwa yanaathiri hata uwezo wa kufikiri na kutoa hoja?
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani wewe ndio unapaswa kuwa mstarabu kwanza...haiwezekani kumkubali mtu aliyepatikana kwa kuchakachua ndio useme kuwa hawa ni wastaarabu...kipimo cha ustaarabu ni kipi? Huwezi ukatuimiza sisi kuwa wastaarabu wakati wengine wanafanya uhuni wa waziwazi!! Tuambie Je,huo ndio ustaarabu?
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu meya wa Kichina hakika nawaambieni ya kwamba siku si nyingi anaweza akajitia kitanzi

  Huyu tutaendelea kumshupalia mpaka kieleweke

  Wao wamempitisha kwa kuwa wana pesa,,,,,,,,,,,,lakini nawaambia ya kwamba haki siku zote itasimama kuwa haki tu
   
 14. D

  Darick JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hao wahuni walimlia pesa tu lakini ukweli wanaujua wazi kwamba moto wa Chadema si wa kitoto wasingeweza kujaribu kwa sababu wanaelewa nini kingewapata hatucheki na makichwa fyongo kama GLM na wote wanaomsapoti
   
 15. D

  Darick JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anatoa maamuzi!!! maamuzi gani ya kung'ang'ania umea? au maamuzi gani ya kuuza nyumba za Kaloleni? au maaamuzi ya nyumbani kwake mimi sikuelewi una akili sawasawa?
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nyie si uwa mnasema mna nguvu ya umma sasa hata hao mnaowaita wahuni mnawaogopa! Kweli nguvu yenu ya umma ni ya kichina!
   
 17. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  safi sana, vijana wote chadema tuchague kutokuogopa nchi itkuwa yetu mwaka 2015
   
 18. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ona aibu kukubaliana na wachakachuaji wa demokrasia, Hata hivyo sio kosa lako, ni kosa la akili yakoi kukosa uwezo wa kufikili.
   
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ndio maana tuna mali asili kibao lakini masikini ,..we hushangai tuna dhahabu,almasi alafu tunaenda kutembeza bakuli.samaki tunao bahari toka tanga mpaka mtwara,maziwa kubwa africa mlima mkubwa africa ziwa kina kirefu tanganyika aaaaaa we

   
 20. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ngoromiko kikwetu ni pepo wachafu,na ibilisi.shauri yako unayejiita Ngoromiko
  Jamaa anakodisha wahuni akiwepo Jumanne mjusi wa Ngarenaro,huu ni uhuni na uwendawazimu wa hali ya juu,tafsiri yake ni kuwa bado damu ya Denis,Ismail na Mkenya Njuguna zitamwandama daima
   
Loading...