Michango ya Kimawazo Aliyowahikutoa Marehemu Regia Mtema katika Mijadala ya Jamiiforums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michango ya Kimawazo Aliyowahikutoa Marehemu Regia Mtema katika Mijadala ya Jamiiforums

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, Jan 15, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wanaJF,

  Nawapa pole wote walioguswa na msiba mkubwa wa mpiganaji mwenzetu marehemu Dada Regia Mtema.

  Kwa heshima, nimeona ni vema nianzishe uzi mahsusi utakaojumuisha michango ya kimawazo ya Dada yetu kipenzi Marehemu Regia Mtema aliyotoa humu Jamiiforums katika mijadala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Wenye data tafadhali karibuni sana.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  cheki uzi wa mwanakijiji nadhani mawazo yanafanana..
   
Loading...