Polisi singida wamtoa upepo raia tsh milioni sita tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi singida wamtoa upepo raia tsh milioni sita tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Jan 15, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haujapita muda mrefu sana tangu polisi mkoani Singida walipofukuzwa kwa kosa la kumbambikiza kesi raia na kupokea rushwa ya milioni tisa. Leo wamekamatwa tena kwa kosa lile lile la kumbambikiza kesi raia na kupokea rushwa ya milioni Sita, kutoka kijijii cha Ufana, Kata ya Sepuka Jimbo la singida magharibi. Waliohusika na tukio ni wanne, wamekamatwa wawili sasa hivi wapo selo. Taarifa zaidi nitawapa kesho asubuhi. Habari za Singida jamani ka! nakata tamaa. Kila sehemu ovyo. Askari hawa wangemtoa upepo mtoto wa mkuu wa mkoa aliyemwagia vijana sumu wakaathirika ingefaa, lakini huyo wamemwacha huru hajawahi hata kutiwa hatiani. Hivi huku ni jamhuri gani? Nisaidieni!
   
Loading...