Balozi Seif Iddi, haya majumba ya kifahari unayoyaporomosha kila kona ndio maisha bora ya watz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Seif Iddi, haya majumba ya kifahari unayoyaporomosha kila kona ndio maisha bora ya watz?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jan 14, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ukipita Fuoni utakuta Hekalu, ni jumba sawa na Ikulu ya Zanzibar.
  pembeni mwa kasri hilo linalokaliwa na vijana huku mzee akiishi nyumba ya Gov kuna wazanzibar wenye vijumba vya Tope na vumbi.akina mama wa karibu na kasri hilo maisha yao ya kuhurumiwa
  si Fuoni, tunasikia hata Kitope,Tunguu na kwengine makasri yanaporomoka kwa kasi.
  jee haya ndio maisha bora kwa kila Mzanzibar?
  kwanini TUSIIGE maalim Seif na DK Shein nyumba zao za kawaida tu?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maskini mnawivu sana
   
 3. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Huu uzi si mahali pake yakhee!!Peleka kwenye habari za kimataifa!!!
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Mbona hakujenga siku zote?
  Ni wazi zitakuwa za walipa kodi tu!
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wacheni uchoyo, mwacheni ale nchi. Kutesa kwa zamu.
   
 6. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  wewe zamu yako lini?
   
 7. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ni wivu wa kizamani.Asipo jenga nyumba kama mheshimiwa balozi ajenge nani?hao wengine wana pretend ili ninyi mdhani mko sawa nao siyo kweli.Practically nchi hii ni ya kibepari na hawa wanasiasa ndio wenye nazo,wacha wajenge hoteli, viwanda vidogovidogo ilimradi tu fedha hizo ni za halali.
   
 8. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Hizo pesa zio za walal hoi na wala sio za kodi yetu, bali kapewa na serikali ya Iran! si unajua iran inataka kukifanya kisiwa cha znz kuwa kibaraka wake. watatajirika wachache na watakaofanywa watumwa ni wengi ki idadi!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mhhhhhhhhhhhhh!
   
Loading...