Wassira (Mbunge wa Bunda) azomewa na wananchi wasio zidi 50

The third

Member
Nov 21, 2011
45
1
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza kuzomea
ika sababisha kushuka jukwaani na kuailisha mkutano na siku iliyo fuata
kamati ya kukusanya maoni ya katiba ili kuwana mkutano na wasira ali arikwa
lakini akutokea.
 
sheria si inatoa adhabu kwa atakayejihusisha na maoni ya katiba kama siyo mwanatume?
 
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza kuzomea
ika sababisha kushuka jukwaani na kuailisha mkutano na siku iliyo fuata
kamati ya kukusanya maoni ya katiba ili kuwana mkutano na wasira ali arikwa
lakini akutokea.

Hii ni aibu kwao, na serikali yao ya kifisadi
 
Chuki na uongo havijengi nchi
. Ukweili ni kwamba wasira hajazomewa. Hata ukimchukia ukwweli unabaki pale pale jamaa Lina uwezo wa kujenga hoja na linakubalika Sana kwa watu wake.
 
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu
katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika
mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza kuzomea
ika sababisha kushuka jukwaani na kuailisha mkutano na siku iliyo fuata
kamati ya kukusanya maoni ya katiba ili kuwana mkutano na wasira ali arikwa
lakini akutokea.

We the third nimefuatilia coments zako hapa, kuna mambo matatu nimeyanukuu,
1. Mkutano ulihudhuliwa na watu 50.
2.Wasira alizomewa
3.Ana-muandaa kijana wake kuwa mbunge qwa bunda baada yake
4.akiwa rais wewe utahamia kenya.
Maoni yangu:
Nimegundua wewe huna hoja unayojenga isipokuwa kusambaza uongo ili watu ambao hawakuwepo wakuamini, na kama unaushahidi wa picha tunaomba ili tujiridhishe.
Inaonyesha kama unatoka Bunda jimbo la huyo aliyezomewa au unatumwa kufuatilia mwenendo wa huyo ndugu, haiwezekani ujue kijana wake atagombea (japo sio kweli) hii inathibitisha kuwa wewe ni wale walioshindwa vibaya na huyo Wasira 2010.

UKWELI ni kwmba katika Mkutano ule aliambatana na Mbunge wa Musoma Vijijini Mhe. Nimrod Mkono, mkutano wao uliisha vizuri na maswali yaliulizwa na kujibiwa vyema, watu walifurika, nakala za picha tunazo, ukisoma Gazeti la Chadema la juzi (Tanzania Daima) Kuna upotoshaji kama wako hapa jukwaani.
Sishangai kwani kuzusha kwenu ni deal of the day, Leo 14/01/2012 Gazeti la Mtanzania limesahihisha vyema UPOTOSHAJI HUO ambao ki ukweli unasambazwa na wale wanao ogopa KISHINDO cha WASIRA akitia JINA 2015.
Tunasubilia uhamie kenya 2015,weka hapa taarifa zako ili muda ukifika tulejelee.
OTHERWISE HAMNA JIPYA WEWE NA WANAOKUTUMIA, WASIRA IS CLEAN HANA KASHFA.
 
Mkutano wake ulihudhuliwa na watu wengi, alijieleza kwa kirefu na kwa ufundi mkubwa Tena katika mazingira tulivu. Kwamba walihudhulia watu 50. Kisha wakazomea na kuondoka ni upotoshaji uliokithiri. Wale wanaomuongelea Wasira na kumhusisha na urais haijulikani wana matatizo gani! Wasira ni raia anazo haki zote wala chuki zenu hazimwondolei sifa ingawa yeye mwenyewe hajasema anataka kuwa RAIS. Kwa kiwango Fulani munonekana Kama munamuogopa vile.
 
Back
Top Bottom