Viongozi 32 wa ngazi ya juu wa CDM warudisha kadi zao za uanachama!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.

Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.

Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source: RFA!
 
Viongozi wa ngazi za juu kwa ngazi zipi,maana magamba hawaishi kubuni njia za kudanganya kuonesha CHADEMA imepoteza umaarufu,huku hali ikionekana ni tofauti!!!
 
Ngeleja anagawa nini huko? Watanzania tutanunuliwa mpaka lini, Ngeleja ana kitu gani kipya cha kumwambia mtu akahama chama, tamaa zitatumaliza wabongo

Mkubwa! Nina hofu amewachukua wale wazee wa umri huu,65,70 na hata 77.
Maana nina hakika hakuna Mtanzania mzalendo atakeyeambiwa jipya na huyu Ngeleja na akasomeka.
 
Viongozi wa ngazi za juu kwa ngazi zipi,maana magamba hawaishi kubuni njia za kudanganya kuonesha CHADEMA imepoteza umaarufu,huku hali ikionekana ni tofauti!!!

Mkubwa! Ngoja tutajua tu. Kwani hata huyu aliyeweka hewani hakutaja ngazi zao.
Lakini ni hofu na umri niliyoweka hapo juu Mkubwa wangu!
 
Viongozi wa juu wilaya ya Nyanza?hiyo wilaya imeanza lini? Hata hivyo ni kweli kuna viongozi wa chini na wanaChama waliorudi CCM leo hapa Mwanza ila hapa jijini kitendo hicho kimechukukuliwa kama mtu aliyebanwa na haja kubwa akaenda msalani na kujisaidia bila kuvua nguo.Huyo utasema amejisaiDia au ??
 
Waziri wa Nishati na madini ktk kampeni za Chama!....Sasa, angalieni jinsi uwajibikaji wa Waziri unapochanganywa na siasa. Huyu ktk wizara yake amehsindwa utekelezaji sasa kazi ni kukibomea chama na amesahau kabisa matatizo ya wizarara yake na ataendelea kuwepo madarakani kwa sababu ya kazi kubwa ya kisiasa anayoifanya.
 
Mkubwa! Hebu tujuze ulipata kwa mtazamo wako wewe hili la huyu fisadi alivyowahadaa Watanzania.

Wizara yake ameshindwa sasa huku kwenye mambo ya siasa nimesikitika sana!
Kama upo Mwanza hebu kusanya hili tujuze ilivyokuwa mpk tunamwona huyu fisadi ngeleja kwenye siasa
 
Waziri wa Nishati na madini ktk kampeni za Chama!....Sasa, angalieni jinsi uwajibikaji wa Waziri unapochanganywa na siasa. Huyu ktk wizara yake amehsindwa utekelezaji sasa kazi ni kukibomea chama na amesahau kabisa matatizo ya wizarara yake na ataendelea kuwepo madarakani kwa sababu ya kazi kubwa ya kisiasa anayoifanya.
Ukiona hivyo wizara imemshinda anatafuta cheo cha siasa nafikiri cha Katibu mwenezi hakina mtu.

Kwa tanzania hakuna shida watu wanachekelea tu hata aliyemteua utasikia anampongeza bila kujua athari yake huku utendaji wa wizara ukipungua kesho rais akiulizwa kwa nini tanzania ni masikini anasema hajui.

Only in Tanzania.
 
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.
Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.
Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source:RFA!

ZINGATIA KWENYE RED, hii wilaya ya Nyanza imekuwa ngeni kwangu labda kwavile nimekuwa sipo huko muda mrefu but nimegoogle sikuipata kabisa. Nilipotoka mimi niliacha Mwanza ilikuwa na wilaya kama ifuatavyo. ILEMELA, NYAMAGANA, SENGEREMA, GEITA, MAGU, KWIMBA, MISUNGWI NA UKEREWE. Hii wilaya ya Nyanza iko upande gani mkuu?
 
Nilishawahi kuuliza kwa yapi mazuri ya Ngeleja hadi awe na ushawishi kiasi hiko?
 
ZINGATIA KWENYE RED, hii wilaya ya Nyanza imekuwa ngeni kwangu labda kwavile nimekuwa sipo huko muda mrefu but nimegoogle sikuipata kabisa. Nilipotoka mimi niliacha Mwanza ilikuwa na wilaya kama ifuatavyo. ILEMELA, NYAMAGANA, SENGEREMA, GEITA, MAGU, KWIMBA, MISUNGWI NA UKEREWE. Hii wilaya ya Nyanza iko upande gani mkuu?

Mkubwa! Twende polepole.
Lakini hbr ndiyo hiyo ya kwmb fisadi ngeleja leo kafanya mkutano wa hadhara hapo kwenye kitongoji cha Nyaza.
Na bila shaka kama sijasomeka naomba tu uiedit na isomeke vema.

Lakini nina hofu sana ya kwamba wale jamii wa mafisadi ama wale watumwa wao ndio hawatanielewa ktk thread ilivyo.
Pole mkubwa kama haujanisoma ila hbr ndiyo.
 
ZINGATIA KWENYE RED, hii wilaya ya Nyanza imekuwa ngeni kwangu labda kwavile nimekuwa sipo huko muda mrefu but nimegoogle sikuipata kabisa. Nilipotoka mimi niliacha Mwanza ilikuwa na wilaya kama ifuatavyo. ILEMELA, NYAMAGANA, SENGEREMA, GEITA, MAGU, KWIMBA, MISUNGWI NA UKEREWE. Hii wilaya ya Nyanza iko upande gani mkuu?

Labda mkuu aliitangaza kimyakimya kama wilaya mpya!Sijui mkuu wake wa wilaya ni nani?
 
Kwanza wana Jamii lazima mjue kuwa CCM imepoteza umaarufu sana Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla.
Hivyo Ngeleja anachokifanya ni kujipendekeza kwa mgombea Urais wa CCM 2015 pamoja na halmashauri nzima ya NEC ili aonekane
ana nguvu kule kanda ya ziwa, ili kwa lolote litakalo tokea huko mbele ya safari aonekane ni potential person pale Mwanza.

Hii ni pamoja na kujifahamu/kuelewa kuwa ktk utendaji ndani ya wizara hana lolote au hajiamini, kapoteza kabisa umaarufu.
 
Labda mkuu aliitangaza kimyakimya kama wilaya mpya!Sijui mkuu wake wa wilaya ni nani?

Mkubwa! Kama escobar hajanisoma Mi nimeshamwambia aje vema na atuwekee sehemu tajwa kwa tukio vizuri.
Lakini ni hofu anaweza akawa na lake jambo.
Tutafika tu! Achana naye!
 
Back
Top Bottom