Yaliyojiri mkutano wa CUF Morogoro leo, CHADEMA wana sera ya kutaja mafisadi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyojiri mkutano wa CUF Morogoro leo, CHADEMA wana sera ya kutaja mafisadi tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DT125, Jan 15, 2012.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habara toka Morogoro Jioni ya leo Mh. Mustapha Wandwi na Mh. Mbalala Maharagande walieleza yafuatayo;
  1. Zaidi ya kutoa orodha ya mafisadi Tz CHADEMA hawana jipya zaidi.
  2. Nchi hii iliharibika awamu ya 3 ya Mh. Mkapa na si marais wengine
  3. CUF imeimarika zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2010 kuliko 2005 kwa kuongeza wabunge 2 Bara tofauti na 2005.
  4. CUF inazidi CHADEMA wabunge wa majimbo.
  5. CUF ndiyo chama chenye wabunge Pemba na Ugunja na CHADEMA hakina hata mmoja.
  6. Waziri wa SMZ kutoka CUF ndiye amepandisha bei ya karafu kutoka Tsh 3,500 Okt 2011 hadi Tsh 25,000 bei ya hivi sasa.
  7. CUF ndiyo imeoa CCM tofauti ya CHADEMA wanaodai CUF imeolewa na CCM visiwani.
  8. Wanaandaa mapokezi makubwa ya Prof wa Uchumi Dunia atakaporudi toka Marekani mwezi ujao.
  9. Prof. Lipumba ni kati ya maprofesa 4 tu walioajiriwa na serikali ya Marekani kati ya maprofesa 300 waliofanya usaili ili waajiriwe
  na Marekani.
  10. Mkutano ulizidisha dakika 15 muda wa kawaida, licha ya polisi kutaka wafunge lakini walikataliwa.
  11. Hakukuwa na kumkumbuka walau dakika moja kumkumbuka mwanasiasa aliyefariki Mh. Regia Mtema.
  12. Hamad Rashid si mwanachama wa CUF anatapatapa tu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  kulikuwa hakuna kamera?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Sijui kwani CUF wanaweweseka kiasi hiki, kwa walio wengi, hua ukiingia kwenye ndoa huwezakuta mambo magumu kuliko ulivyodhani, naamini ndio hali waliyonayo CUF
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  niipenda hiyo yz ndoa, ama kwema kuokewa si
  mchezo. Wangalie watazaa si muda mrefu. Lol!
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red; hivi ni nani kamwoa mwenzie? Kwani kati ya dr.shein na seif, ni nani mwenye sauti ndani ya nyumba? Yule ambaye akikoroma mambo yanakuwa sawa sawia?
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaliyosemwa kwa 90% yana ukweli, isipokuwa hilo la CHADEMA kuwa na sera moja tu sio kweli; wana nyingine maarufu ambayo ni MAANDAMANO!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Habara ndio nini? Na kwanini wamshutumu MR CLEAN badala ya CHEKA
   
 8. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo cuf ni chama cha wa zanzibar na chadema cha watanganyika?huyo mtoa mada alikua na uelewa wa kuku tena wa kisasa,kwani hajui ufisadi ndio unao angamiza nchi hii kiuchumi?yaani sijaona lolote la maana katika hizo highlights,CUF labda wawadanganye watu wenye akili kama zao,na sio waerevu
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kama mkutano wa watu hamsini nao ni mkutano hii kali mi niuliwaona nadhani ni kikao watu hao walikuwa chini ya hamsini chini ya mwembe wanaita mkutano aajabu chama kimepoteza mvuto!!
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Prof lipumba ameajiriwa na serikali ya marekani kama nani?wekeni data za kujitosheleza sio mnaleta ushadadiaji wa vijiwe vya chini ya miembe au vijiwe vya madalali!pumbavu kabisa
   
 11. T

  TUMY JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bla bla bla bla bla bla bla tu, hizo ni dalili za kupoteza mweleko
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiyo namba 9 inamsaidia nini mwanachi wa kawaida wa kitanzania?
  ama kweli kuishiwa hoja ni kubaya...
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kwa mtu mwenye iq ndogo hawezi kuelewa maandamano yana ujumbe gani katika mataifa tofauti duniani,ila kwa muelewa atajua maandamano yana impact gani
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CUF ni hopeless naona kama wafa maji.
   
 15. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  cuf wanatapatapa kwa hakika kama chama cha upinzani kinashindwa kuzungumzia hali mbaya ya uchumi inayowakabili wananchi, na kubaki kutukana cdm,basi hicho chama ni mfu.
   
 16. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi CDM ndiye mwenye kutawala au ndeye mwenye selikali?Hawana jipya wapambana na ccm sio Chadema.Siasa za Tz ukisikia mtu anasema mabaya yameanzia awamu ya 3 ,kama we mbunifu huyo jua amebeba na ajenda ya Udini
   
 17. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo ndoa imeanza kuwa ndoano. badala waongelee ya chama chao wanaongelea ya wengine.
   
 18. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sahihi kabisa mkuu,ajenda ya udini naona imeanza kuibishwa kwa kasi sana,tena na watu wapuuzi wenye akili za kuku!kama nchi kuanza kuharibika,iliaribika kipindi cha Ally Hassan
   
 19. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Jamani huo mkutano walikuwa wanaongea watu wasomi au mateja hakuna hata kidogo cha maana hawana mawazo ya kutujenga
   
 20. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mi naona hizi ni hisia za aliyeleta hii thread ila kaamua kututajia morogoro kwa kuwa watu wengi hatuwezi kufanya uchunguzi kujiridhisha na habari hii, kama ni kweli kwa nini asitupie hata kapicha ka simu ya mchina, anatuletea hii thread kutaka kupima upepo wa mtazamo wetu kwa chama chake. ukiainisha hizo hoja zake yaani kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho utagundua kuwa hata kama wewe ni mnazi wa cuf huwezi kuhudhuria mkutano kwa maada za kijinga kama hizi. Cha kushangaza kwa mazoea ya wengi hapa jf wameanza kuchangia pasipo hata kujihoji wao kwa hiki kilichoandikwa kina mantiki gani na mstakabari wake, ila siwezi kuwalaumu kwa kuwa hapa mara nyingi imezoeleka ku-comment kwa mazoea ya unazi wa vyama. Huu ni ushauri wa bure tu wala hulazimishwi kuukubali ama kuukataa kama vipi upotezee.
   
Loading...