Watoto wa mazingira magumu na yatima wamlilia ms.mtema.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Mama yake mzazi akiojiwa na gazeti la mwananchi mama yake mzazi bi.catherine amesema Regia alikuwa na watoto wawili anaishi waliokuwa wanaishi ktk mazingira magumu kabla ya kuwafungulia milango na kuwapa pakula na pakulala. Pia alikuwa anasapoti vituo mbali mbali hapa nchini. pia alikuwa akiipatia laki moja kila mwezi familia iliyokuwa ikiishi huko Bukoba.

vitabu vitakatifu vinasema matendo yako unayoyafanya hapa duniani yatakutangulia kesho mbele ya haki naamini Mungu
atamlipa kwa kuwajali watu ambao jamii ilikuwa haiwajali. Ametuachia challenge mimi na wewe chaguo ni letu kufumba macho na kwenda kulala au kufumbua macho na kuwasaidia wasiojiweza.

Mungu aiweke roho yake peponi.Amen
 
Kweli, wana kila sababu ya kumlilia. BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA. Jina la BWANA LIHIMIDIWE
 
Back
Top Bottom