Nape awachimba mkwara wanaoanza kujipanga kuwania urais 2015. Vua gamba ndiyo imeanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape awachimba mkwara wanaoanza kujipanga kuwania urais 2015. Vua gamba ndiyo imeanza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyangomboli, Jan 16, 2012.

 1. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku na nimemshuhudia bwana NAPE akisema atashughulika na wanaoanza kujipanga kwa urais wa 2015 sasa. Amesema wanapoteza muda na kawaasa waache kufanya hivyo. Ni wapiga campaign na wale wanaopigiwa. Katumia lugha ya kigeni hapo”Wanaokubali kuwekewa price tag" vua gamba ndo imeanza au ni bit la dogo? SOURCE ITV.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kelele za chura tu hizo, hata siku moja haziwezi kumnyima tembo asinywe maji.
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya kachemka atakuwa huyu dagaa.
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Takataka.RIP Regia Mtema
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo Nape ni CHURA..?
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  R.I.P Regia
   
 7. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape price tag yake ni ya nakumati sio shoprite
   
 8. T

  TUMY JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda ataweza hebu tumsuburi tuone, mzee wa propaganda atakuwa kajipanga labda
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa sijui anaendeshwa kwa remote ya nani... always pretends to talk big lakini huoni vitendo vinavyoendana na tambo zake
   
 10. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Tuja jombi angu?
   
 11. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hajasikika kwa muda sasa . Lazima aje na mkwara ili watu wajue kuwa naye yumo
   
 12. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  RIP Regia Mtema!
   
 13. O

  Omr JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama Nape ni chura Slaa atakuwa nini?
   
 14. a

  adobe JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  churaa tena samaki tena mnyoo tena kinyesi
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Binadamu
   
 16. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Punguza hasira na matusi mkuu!Ninyi ndio mnaharibu hili jukwaa!Nape sio yote haya;hadhi yake kuu ni vuvuzela,halafu ana sifa kadhaa za ushoga hivi;maana yeye kila mara ni kutumwa na wanaume!!!!
  Pia mngemwita kichwa maji mngekuwa hamjakosea sana!
  Akili yake inakaribia kufanana na FaizaFox na Malaria Sugu!!!
   
 17. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana kuona watu bado wanamsikiliza nape.
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Loo,inahuzunisha kweli mkuu
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Atapelekwa India sasa hivi, na akirudi huko ni vegetable kama wenzake, nyingi sikilizeni tu.
   
 20. a

  adobe JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  sio hasira ila ukweli huyu kinyesi anatia kichefuchefu,idiot.we mwaache abwate ovyo kama mwakyembe mwishowe mtauona.huyu ni mzoga tena wa popo au kenge
   
Loading...