Regia: Video za Karimee ziko wapi?

Jan 18, 2012
14
8
Kama Max & Co waliweza ku gharamia kutengeneza TSHIRT za JF cha kujiuliza how hard was it for them to have a Video crew on the ground kurecord the event kisha tukaipata kwenye YOUTUBE channel ya JAMII FORUMS?

Kila kukicha tunapewa michakato tuuu

JAMII MEDIA imeota mbawa au ndio wajuaji mmekuwa wengi?

Max Ukiwenda kwenye press conference huwa unarekodi kwa sim?

Na kama tatizo ni pesa za kununua camera then fine nashauri Kila member JF awe analipia kusoma SIASA na forum zilizokuwa popular then wasiotaka kulipia wanaweza kusoma bure zile threads za JF chitchat na ICT

Tushachoka kusoma story za magazeti

Halafu zile tshirt imekuwaje zimechakachuliwa au ndio mawazo ya Pasco?
 
Back
Top Bottom