JK kuhudhuria mzishi ya Regia ifakara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kuhudhuria mzishi ya Regia ifakara.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bhbm, Jan 17, 2012.

 1. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimefurahishwa sana na kufarijika sana kusikia kuwa mh. Rais atahudhiria mazishi ya mh. Regia kesho ifakara. Pamoja na udhaifu wake kiuongozi but JK anaupendo sana na si mtu wa kujikweza kama wengine.

  Poleni sana kwa msiba huu mzito wana jf wenzangu, chadema, bunge, na taifa kwa ujumla. Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.

  Source: Taarifa ya habari itv saa mbili usiku.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Safi sana JK!
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,484
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  hakuna mwanadamu mwenye mabaya tu! Labda Malaria Sugu wa JF! bravo JK kwa hili msiba ukiisha kibano kinaendelea mpaka kieleweke!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Msiba wa Regia nina mashaka sasa unataka kuchukuliwa kisiasa zaidi.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hakuapa kumtumikia rais JK bali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuilinda katiba ya JMT na siyo JK na wote pamoja na JK ni watumwa wa wapiga kura. Ucha uzushi.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!

  Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.
   
 7. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mumeo/mpenz wako nae amejiunga na JF? Natumai kwa mmeo unakuwa mpole na mnyenyekevu!
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wachanga kisiasa wakati ndio wanaoendesha nchi, kila jambo wanalodai jk anatekeleza. walifanya maandamano juu ya hali mbaya ya uchumi jk akapunguza bei ya sukari. sasa mkubwa nani hapo
   
 9. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekana, kwani chanel 10 wametoa salamu za rambirambi za pinda na spika pekee. mbowe na slaa hawakutolewa utafikiri msiba ni wa ccm.
   
 10. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kumbe jk kalainika. anafanya mchezo na gwandaz. Yeye ahudhurie tu ila ajue siku akihutubia bunge, wazee wa gwandaz watampa kisogo tu.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umeona juice tu. nazungumzia uchumi
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ila wapo wanaoona eti JK hapaswi kuhudhuria misiba ya watu.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakika kabisa! Kwenye hili JK rekodi yake ni nzuri. Kwa hilo mimi siwezi kabisa kumbania hongera zangu.
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bora umemjibu vizuri huyo kilaz...
   
 15. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa taarifa yako hapo ndo CDM kinajengwa,watu wa ifakara watawaamini CDM zaidi
   
 16. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Yaani jk anatafuta upenyo kwa udi na uvumba akutane na dr. amwombe aunge mkono ule mswada wa katiba ili kupunguza jazba za wananchi ambao wana hasira kutokana na matatizo yanayolikumba taifa kwa sasa
   
 17. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo nguvu anazotumia kuhudhuria misiba, angezitumia pia kwenye kukuza uchumi, tungekuwa mbali, na magamba yangeshavuliwa na kuwekwa ndani
   
 18. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anakimbia? uoni aibu kusema hivyo, wakati magamba mnatumia nguvu nyingi kumzuia asionane na wananchi.
   
 19. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umeishiwa point unaanza kutukana watu wasiohusika na mjadala huu, udini utakumaliza.
   
 20. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Mzee wa kulala na maiti makaburini,I was sure he won't afford to miss such opportunity! Bravo mzee unayelindwa na Majini na mapete ya rangirangi,however ndugu JK mlaumu late Yahaya Hussein 'the Psycic' kutowa siri.
   
Loading...