Hawa wana ccm shida tupu!

NGONYA NM

Member
Jan 8, 2012
39
15
Nawapa pole wana arumeru kwa msiba wa mbunge wao Mh Sumari. Nilipita eneo moja la ngaramton nikakutana nakijana wa ccm nikampa pole yakufiwa na mbunge wao. Alinijibu ahsante lakin niny CHADEMA Msidhani mtalipata jimbo kwani hata sumari kupata huo ubunge alimuomba Elishilia Kaaya ndo akamwachia amalizie kipindi chake, makubwa. Nilishangaa kidogo nakujiuliza nasasa nawauliza ndg zangu wanajf INA MAANA CCM WANAHATIMILIKI NA JIMBO LA ARUMERU mashariki??! No haiwezeka. Nihaki yakila chama muda ukifika kuwekamgombe nakumnadi kwa sera nzuri za Chama chake na wala sio uccm nahatimilki ya jimbo. TUSHIRIKIANE NAWANAFAMILIA KTK MAOMBOLEZE KPNDI CHAKAMPEN BADO. NAWASILISHA
 
Hivi marehemu anazikwa lini? tumezibwa mdomo mpaka matanga
 
Marehemu hakuwa mbunge wa eneo la Ngaramtoni kwani mbunge wa eneo la ngaramtoni ni Mh Ole Medeye hivyo huyo nae labda hakuna makini lakini hilo sio lengo langu hasa, lengo langu ni kutaka kusema kama wewe ulimpa pole akakujibu kwa majibu hayo ya kuhusu jimbo hiyo inaonyesha ni uelewa mdogo katika mambo ya siasa, ama hatuwezi jua labda kuna jinsi ambanyo mlizungumza kwani kama anakujua wewe ni Chadema sina shaka kwamba mlizungumza kwa namna moja ama nyingine suala la uchaguzi katika wakati huu mgumu sana kwa wana familia na watu wake wakaribu.

Huu siwakati wa kuzungumza uchaguzi jamani, natumai ulimuelimisha kwamba lengo haöikuwa kuzungumza uchaguzi ila kutoa pole, masuala ya uchaguzi hayana nafasi kwa sasa.
 
Mkakati unaanzia on the spot! chelewa chelewa utakuta mtoto si wako ebo!
 
Wakati tunalia CHADEMA wanajipanga,hebu agizeni khanga na T shirt kofia tuanze kugawa
 
Umejibiwa hivyo kwa sababu wapo wana CHADEMA ambao hata mambo ya msiba hawazungumzii zaidi ya kuwaza jinsi watakavyolipa Jimbo hilo. Wanaenda mbali zaidi kujadili hata wao kwa wao ndani ya CDM naye atakayeweza kupambana na wagombea wengine maana wa mwaka 2010 alipwaya sana na kusdindwa na marehemu SUMARI ambaye hata kampeni hakufanya. Kama umetembelea JF leo utathibitisha uwepo wa threads mbalimbali.

Naendelea kuwasihi wana CDM kuwa tusubiri angalau marehemu SUMARI azikwe kwanza.
 
Sasa kama mtu alifanyia kampeni kitandani unategemea nini? Kuna haja ya kuiweka mgombea mwenza wa ubunge pia. Jamaa hakuwahi kuhutubia hata mkutano mmoja, kulikuwa na haja ya kugombea japo kufa ni juu ya mwenyezi Mungu?
what is your opinion pls?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom