No-nonsense Kagame orders the arrest of four generals | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No-nonsense Kagame orders the arrest of four generals

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ByaseL, Jan 19, 2012.

 1. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Three top Rwandan military generals and a Colonel were yesterday suspended from the national army and placed under house arrest for alleged “indiscipline”.
  Highly placed security sources told this newspaper that the quartet was earlier in the day summoned and questioned for hours by the Chief of Defence Staff, Lt. Gen. Charles Kayonga.


  A military radio message was afterward reportedly sent out on orders of Gen. Paul Kagame to inform all Rwanda Defence Forces (RDF) commanders and troops about the officers’ alleged questionable businesses dealings with the Congolese neighbours.

  As President, Gen. Kagame doubles as the Commander-in-Chief of the country’s armed forces. The officers who have been confined are Lt. Gen. Fred Ibingira, the chief of staff of the Reserve Forces; Brig. Gen. Richard Rutatina, the military intelligence chief; Brig. Gen. Wilson Gumisiriza, commander of the RDF’s 3rd Division and Col. Dan Munyuza, head of external Intelligence.


  Rwandan military Spokesman, Col. Joseph Nzabamwita, last night said investigations are underway to establish the veracity of the allegations against the four accused.

  “The RDF leadership suspended and placed them under hosue arrest as investigations are conducted

  Source: Monitor
   
 2. C

  Chereko Chereko Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  surely not connected with acute intelligence flop? Remember Rwandan govt lost some sensitive docs in Uganda recently!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapa kwetu mambo kama haya ni hadithi na hayawezekani,hapa duniani hakuna aliye juu ya sheria na ni nchi chache sana duniani zinazoweza kufanya hivi hasa za kiafrika,ni mfano mzuri kwa nchi zetu zilizojaa mafisadi.Natamani Kagame angekuwa Rais hapa kwetu natumai viongozi wetu wangeipatapata na kuwajibika ipasavyo
   
 4. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Rwanda has suspended and put under house arrest four of its top military officers, an army spokesperson says.
  They are being investigated over "acts of indiscipline" concerning alleged business dealings in mineral-rich Democratic Republic of Congo.

  [​IMG]

  One of those arrested is the military intelligence chief, who has also advised President Paul Kagame on security issues.
  Rwanda has denied past accusations that it plundered DR Congo's minerals.
  The BBC's Prudent Nsengiyumva in the capital, Kigali, says the arrests come as a shock to some in Rwanda considering how senior the men are.
  Our correspondent says the house arrests may be seen as a signal that no-one is above the law.
  Those arrested are Lt Gen Fred Ibingira, chief of staff of the reserves force; Gen Richard Rutatina, the head of military intelligence; division commander Gen Wilson Gumisiriza, and Col Dan Munyuza, external intelligence chief.
  Rwanda has twice invaded DR Congo saying it was fighting rebel groups based there - but its army has been accused of looting minerals during the conflict in which an estimated five million people died.
  In the last two years, several close military allies of Mr Kagame have gone into exile where they have been critical of his authoritarian style of rule.

  Source: BBCNews
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wanathubutu kiukweli, wanaweza kiukweli na wanasonga mbele kiukweli. Keep it up Kagame mpaka Rwanda kieleweke sie wenzio tumebaki na slogan AMANI na UTULIVU while watu wanakufa ovyo ovyo
   
 6. T

  TUMY JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kagame is one of the committed leader now in Africa, nimependa kichwa cha habari cha taarifa hii " NON-NONSENSE KAGAME.:poa
   
 7. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikwete ni janga la kitaifa na kagame kama nyerere
   
 8. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Source:Habari Leo

  Rais Paul Kagame Amewaweka chini ya ulinzi majenerali wake takribani watano ambao pia ni maafisa waandamizi ndani ya jeshi la Rwanda, Akiwemo mkuu wa Usalama,Mnadhimu mkuu wa jeshi la Akiba,Mkuu wa Mambo ya Nje ya Jeshi Pamoja Na Maafisa Wengine..Kutokana na Kashfa ya Ufisadi wa Kuvujisha Mali za nchini DRC Kongo yakiwemo madini na rasilimali mbalimbali...maafisa hao kwasasa hv wako chini ya ulinzi mkali kwenye makazi yao!
  Hii ni hatua kubwa kwa Rwanda chini ya Raisi wake PAUL KAGAME...Ambaye ameonyesha hacheki na mafisadi bila kujali ni nani katika serikali yake!ndio maana leo tunashangaa kwanini RWANDA inapiga hatua kubwa kimaendeleo kumbe jibu tunalipata wenyewe
  Tukija Tanzania kumekuwa na kashfa mbali mbali kuhusu viongozi..,lakini kumekuwa na spidi ndogo ya kuwashughulikia mafisadi..ambako kuna ile dhana ya kulindana kama ishu ya JAIRO...hivi huyu JAIRO angekuwa RWANDA sijuy KAGAME angemfanya nini? Na vile vile kumekuwa kuna kashfa kuhusiana na JWTZ mfano mzuri mwaka juzi k..,afisa wa jeshi mwandamizi alikutwa na Takribani SHILLINGITRILIONI TATU kwenye akaunti yake nchini afika kusini...paka serikali ya JACOB ZUMA ikahoji mfanyakazi wa serikali tena mwanajeshi kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kiasi hicho wakati nchi yake ni bingwa wa kuomba misaada nnje! Lakini hatukusikia chochote kutoka serikalini kuhusiana na hii kashfa...!
  Mimi naamini JK ni mwanasheji kwanini anashindwa kuchukua maamuzi magumu kama mwenzake PAUL KAGAME katika kuwashughulikia MAFISADI...!
  Hivi leo TANZANIA KUNGEKUWA NA KASHFA KAMA HII ILIYOPATA WENZETU RWANDA YA UFISADI JESHINI...,JE JK ANGECHUKUA MAAMUZI MAZITO...au angewaogopa na kuwasemahe,au kuwashughulikia,au kuwasafisha,au mambo yangekuwa kimya bila chochote kujulikana kama ishu ya TRILIONI TATU SAUZI...!
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kagame yupo serious na nchi yake.
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Benevolent dictatorship..thats what we lack here in Tanzania..jamaa hana mchezo na ujinga ujinga...
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  President Paulo Kagame hana mchezo yuko serious saana, hacheki na mafisadi hata kama ni wanajeshi !!!!!!!!!!!!Mtu Tanzania kakutwa na Trilion tatu (Tshs 3,000,000,000,000/=) kwenye ACCT yake SA lakini watu kimyaaaa!!!!!!!!! Mpaka ule uzi wa hizo fedha mamod waliuzima, sijui vipi?????????

   
 12. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inauma sana huyu mtu wetu anavyochekea wezi na waharibifu wa uchumi na staha yetu! Tumebaki kuwa omba omba tu kwa sababu ya kuchekeana.
   
 13. m

  mariantonia Senior Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  our president is handsome
   
 14. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mwanajeshi ni vitendo na siyo jina! Wanaume wangapi tunajua ni wanaume kwa majina lakini wanapigwa vibaya sana na wake zao? jk mwache alivyo tu. anamshindwa Jairo ataweza Jeshini?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Raisi wa kuuza meno na kucheka Cheka misibani Hana anachoweza
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli tena mzuri sana na ndo maana mabinti wanamzimia!
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti kubwa wa mifumo ya utawala na Rwanda. Ile ni nchi ya kidikteta , sisi tunafuata mfumo wa demokrasia(utawala wa sheria). Jk anaweza sana sana sheria ikiwabaini kuwa na kosa la kujibu.
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hiyo story ni kwa wenzetu ............pamoja na .............vita yoooooote wenzetu wako juu......sie tunafanana na IRAQ....kuombaomba.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hilo alilolifanya Kagame siyo kipimo cha JK kushindwa kuchukua hatua. Hata hivyo JK afanye hivyo kwa sababu gani sasa manake Tanzania hatujapata kuwa na watu wa aina hiyo.
   
 20. K

  Kalimanzira Senior Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 15, 2007
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo alilolifanya Kagame siyo kipimo cha JK kushindwa kuchukua hatua. Hata hivyo JK afanye hivyo kwa sababu gani sasa manake Tanzania hatujapata kuwa na watu wa aina hiyo.
  • Wewe naona unaishi ulimwengu wako mwenyewe siyo Tanganyika hii ambayo inafilisiwa kila kukicha! Hivi EPA, KAGODA na hata Richmond yanatofautiana na hayo ya Rwanda?
   
Loading...