nahavache
JF-Expert Member
- Apr 3, 2009
- 871
- 246
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.