Barozi za tanzania:watumishi wake wanapatikana vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barozi za tanzania:watumishi wake wanapatikana vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanyasu, Jan 20, 2012.

 1. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika safari yangu nje ya tanzania nimepita barozi zaid ya kumi na kuna waajiriwa wengi wenye sifa zinazoeleweka na wengi wasiyo nasifa kabisa,hapa sijaelewa watumishi katika barozi hizi wanapatikana vipi? matangazo ya kazi kwa mwaka mzima ukiona anatafutwa mmoja au wawili! what about the rest? yaani hawafi? hawazeeki? hakuna turnover kama idara zingine za seriksali?
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ni balozi!
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wanapeana kiaina u-ndugunization.
   
Loading...