Wanasiasa wasomi kutoka Mbeya: Hatima yao huwa ni mbaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa wasomi kutoka Mbeya: Hatima yao huwa ni mbaya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Synthesizer, Jan 20, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Kwanza kulikuwa na Gibons Mwaikambo - huyu alikufa kwa "accident" usiku wa kuamkia siku aliyotaka kutangaza rasmi kujitoa CCM na kugombea ubunge huko Mbeya kwa tiketi ya Chadema, akiwa na uhakika wa kushinda. Na sasa tunaoona mambo yasiyoeleweka juu ya kuugua kwa Prof. Mwandosya na Dr. Mwakyembe. Inakuwaje kuhusu wanasiasa wasomi toka mkoa wa Mbeya?
   
 2. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Polonium 210 inafanya kazi, magamba hatari sana, aliyewaweza kakobe tu.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi Kakobe ni kweli umeme umekataa kupita pale? Tafadhali!
   
Loading...