Habari za JUMAPILI wanaforum,
Tumefanya mabadiliko kidogo katika muendelezo wa vipindi hivi kujadili na kusaidia kutanzua Migogoro ya kisiasa NCHINI na wimbi hili la fukuzafukuza. Badala ya kuwa...
Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa dokezo kuwa kuna uhalifu umefanyika na ni uhalifu ambao unagusa taasisi mbalimbali nyeti na hata watu ambao tunaweza kusema ni watu maarufu. Tuhuma ambazo zimetolewa...
Jussa ipigwe kura ya
kutokuwa na imani na
gnu mimi ni mkaazi wa mji
mkongwe, regardless
chama changu/au kama
sina chama.
Mwakilishi wangu jussa,
nataka upeleke baraza la wawakilishi mada ya...
SHIRIKA la misaada ya Kijerumani la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) limeiumbua serikali kwa kile ilichoita, kuudanganya ulimwengu kwamba baadhi ya nchi wafadhili zimekuwa zikisaidia vyama vya...
Makamu wa Rais akiwa katika ziara rasmi ya kiserikali mkoani Lindi inayayogharimiwa na kodi zetu
wote kaamua kufanya kazi ya kukusanya kadi za upinzani.
Pamoja na umri wangu kuwa wa kawida lakini nimebahatika
kuviona na kuvitambua vipindi vyote vya u-rais na "ikulu" zake!
Kwa tathimni ya ngungu ikulu ya kipindi cha u-rais cha kikwete
is too...
CCM, CUF wapinga muswada wa mafao ya viongozi
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kutoka CCM na CUF wameupinga muswada wa maslahi ya mafao ya viongozi wa kisiasa na kusema kwamba utawabebesha...
Wapendwa wanaJF,
Suala la Katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele zamani na wananchi wapenda ukweli na wenye maono akiwepo Makwaia wa KUHENGA, mwandishi wa Kitabu cha CCM NA MUSTAKABALI WA NCHI...
Habari Wanajamii
Nimetokea Kikatiti Leo Asubuhi Mida Ya Saa Tatu Hivi Kuelekea Tengeru, Katika Kila Kituo Cha Daladala Na Penye Maduka Au Soko Kumepandishwa Bendera Za CCM Tena Mpya Kabisa...
Wakuu,katika mkoa tarajiwa wa Geita CDM iliamua kuanzisha oparesheni maalumu ya kutoa elimu ya uraia vijijini sambamba na ufunguzi wa matawi.Pamoja na uzinduzi wa tawi kijijini Misri uliofanyika...
Kutoelewana kati ya serikali na JWTZ kutokana na serikali kuvunja makubaliano ya awali kuwa jeshi la wananchi ndilo lishughulikie mipango yote ya kupandisha na kuzima mwenge miaka 50 ya uhuru. TBC...
Spika wa baraza la wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewaambia wajumbe wa baraza hilo kwamba tayari rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Sheni ametia saini miswaada mitatu iliyopitishwa na wajumbe hao...
Nawaza hali itakavokuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda...
REGIA: BATTLE OF MEMORIES- JF, TGNP, CHAWATA & CHADEMA
It is now official, Regia Mtema lived beyond her disability, dreamed, dared and never took women or disables rights for granted. She left...
Inapotokea kiongozi tunampa kura kwa ahadi lukuki na hazitekelezi kwa kipindi cha miaka mitano, yeye hana hasara ila sisi wananchi. Anakuja mwingine na ahadi lukuki kutoka chama hicho hicho na...
Ni wiki hii tu umma wa watanzania tulishuhudia jinsi marehemu Mheshimiwa REGIA MTEMA - Mbunge viti maalum CHADEMA alivyozikwa kwa heshima zote na serikali na chama. Katika shughuli zote msiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.