Kamati Kuu ya CHADEMA yaahirishwa kufanyika Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati Kuu ya CHADEMA yaahirishwa kufanyika Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Jan 20, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  KUFUATIA kifo cha Mbunge Jeremiah Sumari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua mkutano wa kawaida wa Kamati Kuu ya chama uliokuwa ufanyike Zanzibar kuanzia Januari 21, 2012 mpaka Januari 22, 2012, sasa utafanyika Dar es Salaam.


  CHADEMA imefikia uamuzi huo ili kuwezesha viongozi wake wakuu wa chama, wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dkt. Wilbrod Slaa kuwa karibu ili kujumuika na kuifariji familia ya marehemu pamoja na kushiriki katika kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Sumari.


  Mungu ailaze roho ya Marehemu Jeremia Sumari, mahali pema peponi, Amina.  Imetolewa leo Januari 20, 2012
  John Mnyika (Mb),
  Mkurugenzi wa Habari na Uenezi
   
 2. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Asante Mkuu taarifa!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa a
   
 4. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa taariifa ila uwakilishi wa Uzini tutashiriki uchaguzi?
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haituhusu kamati kuu yenu,hata mngeenda kufanyia hai
   
 6. knownless

  knownless Senior Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wazo zuri kutoka kwa makamanda.
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa mkuu
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana kwa taarifa.Mungu awaongoze kikaoni
   
 9. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Bila shaka, bila shaka kamanda. Kwa nguvu zote kabisa mkuu. CHADEMA kinajiandaa kuwa sauti ya watu wa Zanzibar, kwa maana ya kushika hatamu za chama mbadala (upinzani?). Hii ni baada ya wananchi wa Zanzibar kukosa msemaji wa kuwasemea dhidi ya madhira ya watawala/serikali. Utakuwa ni muda mwafaka wa CHADEMA kufanya siasa za Zanzibar kadri ya mahitaji ya Wazanzibar na Watanzania kwa ujumla, wapenda demokrasia na maendeleo.
   
 10. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Walikua wanatafuta tu sababu hao wasepe, wanajua fika Zanzibar hawatakiwi hata kwa kutupiwa mbwa.
   
 11. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo Kani likubalike Zanzibar? Wewe unachonga sana na Wana wa Zanzibar kumbeeeee!!!
   
 12. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo KANISA likubalike Zanzibar? Wewe unachonga sana na Wana wa Zanzibar kumbeeeee!!!
   
 13. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Asante kamanda Makene.CDM wameona mbali kukupa nafasi uliyonayo .....maana ingawa una umri mdogo mambo uyafanyayo yanastahili pongezi.Kule tu kuwahi kuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la The Hill Observer la UDSM ni CV nzito sana, ukijumlisha na na enzi zile tuko wote High School tunachangishana mia mia ili kupata 500 ya kununua gazeti la Rai la miaka hiyo
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,522
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Ndivyo ulivyofundishwa, ndivyo ulivyolelewa
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,522
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu ingependeza kama ungem-pm tu, haya ukiyoyaeleza yako nje ya topic
   
 16. t

  true JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Asante kwa taarifa makamanda! Hicho ndo chama makini, na chenye watu makini...,
  keep it up CDM!!
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,522
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mbali na kwenda out of topic lakini unataka kutuambia kuwa wewe bado ni mtoto mdogo. Maana bei ya Rai kufika sh 500 ilikuwa mwaka 2011 mwaka ambao ulikuwa High school
   
 18. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha hizo umelazimishwa kuchangia?
   
 19. S

  STIDE JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ccm ndo kabisaaaa watakufa kwa presha wakisikia mnajizatiti Zenji!!!
   
 20. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #20
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mafanikio mema KAMANDA
   
Loading...