Online Meeting with CUF - Kuimarisha Upinzani na Kuleta Maendeleo - No 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Online Meeting with CUF - Kuimarisha Upinzani na Kuleta Maendeleo - No 2

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Allien, Jan 12, 2009.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wana-CUF mliomo humu, Karibuni katika Thread hii maalumu kwa ajili ya mambo muhimu ambayo tunataka myajibu.Tutawapima kutokana na maelezo yenu. Then tutaviita pia vyama vingine katika thread tofauti. So this is KITI MOTO!

  Tuna taarifa kuwa Mh. Professor Lipumba na viongozi wa CUF wote mko humu, so tunataka majibu ya uhakika.

  Watanzania tumechoka sana mwekeo wa nchi yetu.

  Hakuna wa kututetea kikamilifu ndani ya Chama Tawala . . . .

  Upinzani nao bado unasua sua na hauna mwelekeo wa kushika hatamu . . . .

  Sasa baadhi ya wana JF na watanzania wengine makini ambo wako nje ya JF kwa hiari yetu tumeamua tunapenda kuona Nchi yetu ikiwa na mabadiliko na maendeleo ya kweli.

  Tunapenda kuona mambo ya kimsingi ya kuleta mabadiliko ya kweli yafanyike na ikiwezekana CUF ishike madaraka mwaka 2010 au 2015. Pia tunapenda kuona UPINZANI UKIUNGANA hasa CUF na CHADEMA na wengi tuko tayari kuwaunga mkono na kujiandaa kufanya kweli endapo tu mtakidhi matakwa ya watanzania.

  Kwa kuanzia tunaomba msimamo wenu katika hili.

  Kujiridhisha mwanaweza kupitia thread hii kwanza: https://www.jamiiforums.com/complaint...cha-siasa.html
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Haa haa . . . .

  Wamegoma kuja nini?
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Jan 13, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,729
  Likes Received: 4,948
  Trophy Points: 280
  ..CUF ni chama mufilis. kimeanzishwa kwa ajili ya Wapemba tu, na huku bara wapo kuzuga-zuga.

  ..Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba[PhD] anapoteza muda na kupaji chake kwa kuendelea kuwa CUF. Taifa linamhitaji, hivyo ni bora ajiunge na vyama vya maana vyenye malengo ya kitaifa.
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda wako ktk Kampeni Mbeya Vijijini maana wao ndio wapinzani pekee yao.
   
 5. M

  Mwanazuoni Member

  #5
  Jan 13, 2009
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa juzi kuna kinachoitwa kikundi cha habari cha waislam kuibuka na kukikashifu chadema na kusema wana ukabila na udini. madai ambayo ukiyasikiliza, hayana msingi. Tena wanafika mbali kudai kuwa chadema hakina maslai na waislam.

  Mbona hawakukishutumu CUF kuwa ni cha kidini na kilianza hivyo? mbona hawakusema kinamejaa viongozi wa kiislamu tupu na kinaoperate maeneo yenye waislam tu?

  Hivi kumbe vyama vya siasa vinatakiwa viwe na interest na dini fulani. CCM kina interest na dini gani? au ndio majibu kuwa kina interest na Uislam na ndio mana waislamu wanajitokeza kukitetea na kupambana na anayekipinga?

  Samahani kama nimetoka nje ya mada
   
 6. M

  Mwanazuoni Member

  #6
  Jan 13, 2009
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa juzi kuna kinachoitwa kikundi cha habari cha waislam kuibuka na kukikashifu chadema na kusema wana ukabila na udini. madai ambayo ukiyasikiliza, hayana msingi. Tena wanafika mbali kudai kuwa chadema hakina maslai na waislam.

  Mbona hawakukishutumu CUF kuwa ni cha kidini na kilianza hivyo? mbona hawakusema kinamejaa viongozi wa kiislamu tupu na kinaoperate maeneo yenye waislam tu?

  Hivi kumbe vyama vya siasa vinatakiwa viwe na interest na dini fulani. CCM kina interest na dini gani? au ndio majibu kuwa kina interest na Uislam na ndio mana waislamu wanajitokeza kukitetea na kupambana na anayekipinga?

  Samahani kama nimetoka nje ya mada
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli wamo humu?
   
 8. M

  Masatu JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu Joka,

  Of late umekuwa unanishangaza sana na michango yako kiasi cha kuanza kuamini some one has stolen ur password.

  Mwanzo ulisema ( kwenye thread nyingine ) CUF ni chama cha kidini ( Uislam ) sijui kigezo ulichotumia kufikia conclusion hiyo, sasa unakuja ni hii ya chama cha kipemba!

  Swali langu kwako ni lile lile je ni kigezo gani umekitumia kufikia hiyo conclusion?

  Kama suala ni nguvu CUF mbona walishawahi kushinda ubunge Kigamboni na kule Bukoba? hivi sasa CUF ina madiwani wengi maeneo ya kanda ya ziwa na kwa taarifa yako uchaguzi wa mwisho 205 CUF ilisimamisha wagombea majimbo yote kasoro kama kumi na ushee Tanzania nzima. Vilevile CUF ilikuwa ya pili mgombea wake akijinyakulia kura zaidi ya 1.2m wakati huyo mgombea wa chama m-adala akiamulia kura laki 6 tu... na zaidi ya hapo apo Dar CUF wana viti vya serikali ya amitaa zaidi ya 100 wakati Chadema hawazidi hata 10! je hii imekaaje?

  I knw of late standards zako zimeshuka lakini sikutegemea kama utashuka that low...
   
 9. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mwanazuoni;

  Nakuona muda mrefu sana ndugu yangu kwenye thread hii . . . . Tunaomba mchango wako Mkuu kuhusu CUF.
   
 10. M

  Mwanazuoni Member

  #10
  Jan 13, 2009
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Allien, Mchango wangu nimeshatuma kitambo sana. labda ulichelewa tu kuusoma
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu, tuko pamoja, niwie radhi nilipitiwa.

  Hawa CUF, kweli wamo humu au ndiyo wameamua kukausha kama wapo?
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Jan 13, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Allen,
  Unataka nini kutoka CUF ikiwa tayari ni chama cha Waislaam!..
  Ndege wote walie akilia Bunde ni Uchuro!..
   
 13. C

  Chuma JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  CUF hawana publicity, na inavyoonekana hawataki hio publicity...na hata hao wapenzi wao si watu wa kupenda hio!!!!

  For so long, yanayotokea yote ya vyama vingine kila kona yataandikwa ktk Magazeti, bahati Mbaya CUF hata kama wakifanya Mkutano Jangwani Hakitaandikwa!!!!

  CUF hawana Gazeti na wala website yao ilikuwa attacked na virus, hizo zilikuwa nyenzo pekee za wao kutafuta Publicity....kuna mdau hapa JF aliweka thread kuwa karibuni ktk Blog ya CUF....nionavyo hio ni private effort ya mtu ambae ana mapenzi na CUF na ameamua kuweka news na mambo kadhaa yanayohusu CUF...lkn Blog cann't be official of Political Party....!!

  Bahati Mbaya mdudu aliesingiziwa CUF na Huyohuyo ametupiwa Chadema, na Chadema hawaoni hilo tatizo, wakati adui Kamili CCM akiendelea kupeta. some members here its better CCM to remain in power rather CUF or Chadema.

  at the moment i dont see any future of "Muungano wa Vyama" ...na Kila chama kisurvive on his her own!!!!...."MISUKOSUKO waliyoipata imetosha chama kimoja kuwajua wengine" Wananchi ndio watakao amua who should rule them...na kama tukipata matatizo, wa kulaumiwa ni NAFSI zetu...
   
 14. M

  Masatu JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Vyama magazeti kama Chadema vitakufa kifo ca asili kama kilivyo kufa NCCR.

  Katika wapinzani wote CUF wapo makini saana na mtandao wao ni mkubwa lakini kama alivyosema mdau hapo juu hawana publicity na kila wakipewa inakuwa negative upemba, uislam nk.
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hiki chama kinasumbuana na wapinzani wenzake zaidi kuliko chama tawala.
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kivipi Mkuu?
   
 17. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duuh kumbe kuna watu hua wanajifundisha kuandika hapa! Halafu mkuu udini utakumaliza, katika threa hii dini zimehusikaje? Salama yako umeomba msamaha.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naungana na chuma,

  CUF kimeshindwa kuuza sera zake through media, either mtu wa publicity ameshindwa kufanya kazi yake vema au kuna sabotage fulani kwa wahariri wa magazeti sijafahamu vizuri, ambao habari ambayo itachukua heading always itakuwa pale ambapo CUF kuna malumbano otherwise kwa shughuli za kila siku hatuwasikii kabisa..

  CUF website or blog; haina habari updates, emails za viongozi wote hazijibiwi, JF hawashiriki, nakumbuka mara mwisho nilimuandikia Jussa email; sikupata reply, Mtatiro kwenye website ya chama hakuna contact zake; kimsingi kuhusu mawasiliano kwa UMMA; CUF hawajajipanga hata kidogo

  Nini kifanyike:
  a. Kurugenzi ya mawasiliano kwa umma iongezewe mafao, na ijaribu kushiriki kutoa taarifa kwa umma si tu kwenye traditional media; bali wajitahidi kutoa taarifa kwenye alternative media outlets e.g. internet, youtube, blogs and JF; watu wengi sana hawasomi magazeti tumieni zaidi redio kutoa taarifa.

  b. Mikutano ya hadhara imepungua sana, baada ya kuingia katika serikali ya umoja wa kitaifa, it seems as if CUF wameridhika na matokeo yaliyopatikana; ongezeni mikutano ya hadhara hasa maeneo ambayo mnahitaji kujitanua. Hii iambatane na mikutano ya ndani ya chama kufufua uhai wake katika mikoa yote ya bara hasa viongozi, nilikuwa Arusha sijaona kiongozi wa CUF akifanya la maana..

  c. Nafikiri ni muda muafaka kurudisha sera ya jino kwa jino, mmekuwa wapole sana kwa chadema; wanawa attack kupunguza nguvu za chama kwa alllegations za uwongo lakini sijaona majibu na mkakati maalum wa kupambana nao, bahati mbaya mkiacha kufanya propaganda wenzetu hawatajali wao wanafanya propaganda tena mbaya. CUF iache ndoto ya umoja wa vyama vya upinzani hiyo kitu hakina manufaa kwasababu hamtaweza kushirikiana na vyama ambavyo malengo yenu ni tofauti..after all wananchi wanataka chama na watu makini na si muungano, muungano na chadema haujalipa, muungano mwingine wowote haulipi..
   
Loading...