Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba The late Sumari aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki anazikwa jioni hii kijijini kwao huko jimboni. Rais Kikwete anaongoza shughuli hiyo ya mazishi...
0 Reactions
105 Replies
15K Views
Na Mwandishi Maalum - Mwanahalisi Imechapwa 11 January 2012 MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe amenukuliwa akisema Maalim Seif Shariff Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa 2010. Hii ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, jana kimevuna wanachama wengi katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Mjini Itigi, JImbo la Manyoni Magharibi. Leo Chama hicho kinatarajia kufanya mkutano...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Roma 1,300, CCM 50 Na Ansbert Ngurumo, MWISHONI mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu, nimekutana na makundi mbalimbali ya watu waliokuwa wanajadili "mwisho wa CCM." Baadhi yao ni wana CCM...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekuwa mfuasi mzuri sio wa CCm bali wa Dr Mwakyembe binafsi haswa baada ya sakata La Richmond,lakini nimekuwa nikijiuliza hivi maradhi anayoumwa sasa ni ya kawaida au kuna mkono wa Siasa ndani...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Jamani nilipost jana ila nadhani sikueleweka. Kwa matokeo yaliyopo kwenye tume ya uchaguzi inaonekana kuwa Chadema walishinda Ubunge Pemba jimbo la Chambani na Wakachakachua ushindi kwa mshindi...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
MCHINA Jiang Jing Ying aliyekuwa Tanzania mwaka 1969 kwa ajili ya kujenga reli ya TAZARA amefika nchini na kulia machozi baada ya kuona hali mbaya ya reli hiyo pamoja na wafanyakazi wenzake wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Usemi wa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni unaendana hapa..twende mbele turudi nyuma lakini ada ya mja hunena uungwana ni vitendo..hii ni positive move ya demokratisation katika Tanzania na huenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mwana Rombo na mkereketwa wa maendeleo ya wilaya ya Rombo na taifa zima kwa ujumla hasa katika sekta nyeti ya ELIMU. Mbunge wangu Josephy Selasini kimya kimezidi hatukusikii ukiendesha...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Strolling about Dar es Salaam in the days around mainland Tanzania's 50th birthday, I was struck by the virtual absence of an essential aspect of the festive occasion: Apart from its usual venues...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kulikuwa na sera zozote za kulifanya taifa kuwa ni la kujitegemea? Au zilikuwa ni porojo tu? Mpaka sasa sio dalili zote kuwa Tanzania itaachana na misaada kutoka nje.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Taarifa tulizopata punde ni kuwa Rais Kikwete na ujumbe wa CHADEMA wamekutana Ikulu muda si mrefu, Slaa ni mmoja wa waliohudhuria. Inasemekana ni mwendelezo wa maongezi ya mjadala wa Katiba...
65 Reactions
546 Replies
51K Views
Habari wana JF. Tokana na kwamba hapa JF na taifa limepata msiba mkubwa wa kumpoteza Mpendwa wetu Mh. Regia E. Mtema kumekua na Threads nyiingi mno ambazo imekua ngumu saana kuzifuatilia na...
34 Reactions
50 Replies
7K Views
By Gobby Wang Taiwan News, Staff Writer 2012-01-21 05:07 PM The International Monetary Fund stated that Tanzania will see increased investment in gas exploration over the next five years, and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni juzi tu niliwasikia wabunge wa CCM wakiishambulia ITV kwa madai kuwa inafanya uchochezi kwa kurusha vipindi vya makongamano yanayopotosha wananchi yanayohusu upatikanaji wa katiba mpya. Na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania | Sun, Jan 22nd, 2012 The Controller and Auditor General(CAG) has recommended that all officials who participated in the controversial Airbus A320-214 leasing be taken to court for...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
CHAMA cha waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro (MECKI) kimemtaka mbunge wa jimbo la Rombo Mh Joseph Selasini kutumia taratibu za chama hicho kutoa malalamiko yanayo wahusu wananchama wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mh zito kupitia channel ten amesema anataka kuwasilisha hoja binafsi,kwa lengo la kufufua kilimo cha katani. Hakika ktk hili nipo pamoja naye sana,na ninaomba wabunge ktk hili acheni siasa za...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
RAIS Kikwete hivi karibuni alishuhudia Live kifo cha CCM yake kule Ifakara katika mazishi ya mbunge wa viti maalum chadema Rejia Mtema. ni ukweli ulio wazi kuwa kutokan na picha ile jamani CCM...
12 Reactions
60 Replies
7K Views
SIKU chache baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC- CCM) kumteua mfanyabiashara, Mohammed Raza kuwania nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Jimbo la Uzini, Chama cha...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Back
Top Bottom